• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

Kilimo,Umwagiliaji na Ushirikiano



Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika 

 Kazi za Idara

  • Jukumu kuu la Idara hii ni kuhamasisha, kuboresha na kusimamia utoaji wa huduma za maendeleo ya kilimo, Umwagiliaji na Ushirika katika jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.
  • usambazaji wa uuzaji wa pembejeo na zana za kilimo kutoka maduka ya watu binafsi.
  • Usimamiaji wa matumizi ya pembejeo za kilimo katika Vijiji/Mitaa/Kata.
  • Kutoa elimu/ushauri wa matumizi ya mbolea na madawa, kilimo mseto, usindikaji wa mazao, hifadhi ya udongo na matumizi bora ya ardhi, kilimo cha umwagiliaji na uzalishaji wa mazao mbalimbali ya nafaka, Choroko, Dengu, Mihogo, Mpunga, Mtama ,Viazi vitamu,Alizeti na Mahindi kwa kuzingatia kanuni bora kwa wakulima mmoja mmoja au vikundi.
  • Kufanya tathmini kuhusu hali ya chakula na lishe katika Halmashauri.
  • Kusimamia, kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Miradi ya Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Projects – DADPs).
  •  Kuhamasisha na kusimamia shughuli za kilimo cha zao la Pamba.
  •  Kufanya maandalizi na kushiriki maonesho ya sikukuu ya wakulima Nanenane.
  • Kuboresha vyama vya ushirika vya aina mbalimbali.
  •  Kuimarisha ushirika wa akiba na mikopo.
  • Kutoa mafunzo na elimu kuhusu vyama vya ushirika.
  • Kusimamia vyema miradi

Matangazo

  • TAARIFA HII SIYO SAHIHI IPUUZWE February 12, 2021
  • Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Kukagua na Kuhamasisha Miradi ya Maendeleo Katika Tarafa ya Mwamashimba kuanzia Tarehe 12-14/06/2019 June 12, 2019
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA BVR KIT OPERATOR NA Waandikishaji Wasaidizi. August 11, 2019
  • MATOKEO YA DARASA LASABA/ WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 (KWIMBA) December 07, 2019
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • KWIMBA YAHITIMISHA SIKU ZA MAOMBOLEZO KWA KULIOMBEA TAIFA NA VIONGOZI

    April 07, 2021
  • DC NGAGA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.MAGUFULI

    March 19, 2021
  • PUMZIKA KWA AMANI RAIS WETU

    March 17, 2021
  • NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI MHE.SILINDE AKAGUA MIRADI YA EP4R SHULE YA SEKONDARI TALLO.

    March 07, 2021
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.