• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

BARAZA LAPITISHA BILIONI 44.89 BAJETI YA HALMASHAURI YA KWIMBA

Posted on: February 9th, 2021

Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba likiwa chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Thereza Jackson Lusangija limepitisha kiasi cha bilioni 44.89 kama bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka wa fedha 2021/2022.Ikiwa na mchanganuo ufuatao mapato ya ndani bilioni 2.5, mishahara bilioni 29.2, ruzuku ya matumizi ya kawaida bilioni 1.6, ruzuku ya miradi ya maendeleo bilioni 11.5


Akiongea katika ukumbi wa Halmashauri  Mhe.Lusangija amesema matarajio ya Madiwani wa Halmashauri nikuona mambo yaliyopangiliwa kwaajili ya kuleta maendeleo ya wananchi wa Kwimba yanafanikuwa kwa kiwango kikubwa,pia amesisitiza kuwa atatumia nafasi yake kuhamasisha na kusimamia miradi na shughuli nyingine zinazochagiza maendeleo zinafanyika ili mipango yote iliyojadiliwa katika bajeti hiyo iweze kufanikiwa.


Katika baraza hilo amehudhuria Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Senyi Simon Ngaga yeye amewapongeza Waheshimiwa Madiwani kwa kupitisha bajeti hiyo pia amewashauri wabuni na kuibua vyanzo vipya vya mapato ili kuongeza mapato ya ndani,vilevile amewasisitiza Madiwani kuwa mstari wa mbele kusimamia miradi inayotekelezwa katika Kata zao ili miradi ikamilike kwa wakati.

Matangazo

  • TAARIFA HII SIYO SAHIHI IPUUZWE February 12, 2021
  • Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Kukagua na Kuhamasisha Miradi ya Maendeleo Katika Tarafa ya Mwamashimba kuanzia Tarehe 12-14/06/2019 June 12, 2019
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA BVR KIT OPERATOR NA Waandikishaji Wasaidizi. August 11, 2019
  • MATOKEO YA DARASA LASABA/ WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 (KWIMBA) December 07, 2019
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANUFAIKA WA TASAF WASHAURIWA KUTUMIA FEDHA KWA MALENGO YALIYOKUSUDIWA

    February 22, 2021
  • WALIOKUWA WAHANGA WA FISTULA WASHUHUDIA JINSI WALIVYOTIBIWA BURE

    February 26, 2021
  • BARAZA LA MADIWANI LAAZIMIA KUIGAWA HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA ILI KUPATA HALMASHAURI NYINGINE MPYA

    February 19, 2021
  • YALIYOJILI BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI KWIMBA

    February 12, 2021
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.