• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MKURUGENZI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA HOSPITALI

Posted on: June 22nd, 2020

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba  Bib.Pendo Malabeja anafanya ziara ya mara kwa mara kukagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya eneo la Icheja,hivyo ameweza kukagua jengo la OPD ambalo limefikia hatua ya umaliziaji wa boma (hanamu),jengo la maabara ambalo liko hatua ya kumwaga jamvi la zege,jengo la utawala ambalo liko hatua ya kumwaga jamvi na jengo la Mionzi ambalo liko hatua ya ukuta wa msingi.Katika ziara hiyo Mkurugenzi ametatua changamoto alizozikuta eneo hilo ikiwemo mafundi wagonjwa wamepelekwa Hospitali na amehimiza vifaa vya ujenzi kufikishwa kwa wakati ili ujenzi ukamilike kwa wakati uliokusudiwa.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WASTAAFU WA WILAYA YA KWIMBA January 08, 2021
  • Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Kukagua na Kuhamasisha Miradi ya Maendeleo Katika Tarafa ya Mwamashimba kuanzia Tarehe 12-14/06/2019 June 12, 2019
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA BVR KIT OPERATOR NA Waandikishaji Wasaidizi. August 11, 2019
  • MATOKEO YA DARASA LASABA/ WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 (KWIMBA) December 07, 2019
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU YAOKOA MILIONI SITA KADASHI.

    January 21, 2021
  • MHE.KUNDO AAHIDI KUTOKOMEZA TATIZO LA UPATIKANAJI WA MTANDAO KATA YA BUGANDO

    January 08, 2021
  • MAANDALIZI YA KUPOKEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2021 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA YAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 80.

    December 03, 2020
  • MAAFISA UGANI WAPATA MAFUNZO YA KILIMO CHA KOROSHO

    December 22, 2020
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.