• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

PUMZIKA KWA AMANI RAIS WETU

Posted on: March 17th, 2021

Wananchi wa Wilaya ya Kwimba wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa mpendwa wetu Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli ambao umetokea tarehe 17/03/2021 Dar es salaam. Wakiongea kwa nyakati tofauti wananchi hao wanasema"tumempoteza mtetezi wa wanyonge,mpenda amani,Mtu wa Mungu,mchapa kazi, mpinga ukatili na rushwa,msimamia haki" Aidha wananchi na Viongozi  wa Kwimba wanaomboleza kufatia taarifa hiyo.


Akiongea na baadhi ya Watumishi wa Umma Katibu Tawala wa Wilaya ya Kwimba Ndug.Nyakia Ally amewataka watu wote kumuombea Rais wetu ili apumzike kwa amani,pia amesisitiza kuenzi mambo yote aliyotutendea Rais enzi za uhai wake.

Matangazo

  • TAARIFA HII SIYO SAHIHI IPUUZWE February 12, 2021
  • Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Kukagua na Kuhamasisha Miradi ya Maendeleo Katika Tarafa ya Mwamashimba kuanzia Tarehe 12-14/06/2019 June 12, 2019
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA BVR KIT OPERATOR NA Waandikishaji Wasaidizi. August 11, 2019
  • MATOKEO YA DARASA LASABA/ WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 (KWIMBA) December 07, 2019
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • KWIMBA YAHITIMISHA SIKU ZA MAOMBOLEZO KWA KULIOMBEA TAIFA NA VIONGOZI

    April 07, 2021
  • DC NGAGA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.MAGUFULI

    March 19, 2021
  • PUMZIKA KWA AMANI RAIS WETU

    March 17, 2021
  • NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI MHE.SILINDE AKAGUA MIRADI YA EP4R SHULE YA SEKONDARI TALLO.

    March 07, 2021
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.