• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

BARAZA LA MADIWANI LASHAURI FEDHA ZILIZOBAKI WAKATI WA KUFUNGA HESABU ZITUMIKE HARAKA KUKAMILISHA MIRADI

Posted on: September 27th, 2022

Baraza la madiwani  limeshauri fedha zilizobaki wakati wa ufungaji wa hesabu za Halmashauri 2021/2022 zitumike haraka ili zikamilishe miradi ya maendeleo.

Wameyasema hayo leo tarehe  27,Sept 2022 katika mkutano wa baraza la madiwani la kufunga  hesabu za Halmashauri 2021/2022   ambalo limeonyesha kuwa wakati wa kufunga hesabu Halmashauri ilifunga hesabu ikiwa na bilioni 4.2 ambazo zililetwa mwisho wa mwaka kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ujenzi wa jengo la utawa,fedha za ujenzi wa vituo vya Afya,fedha za miradi ya TASAF na miradi mingine.


Akisoma taarifa ya ufungaji wa hesabu hizo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauti ya Wilaya ya Kwimba Bi.Happiness Msanga amesema mwaka 2020/2021 hesabu zilifungwa na halmashauri ilibaki na bilioni 1.5, tofauti na mwaka 2021/2022 ambapo hesabu zimefungwa na Halmashauri imebaki na  bilioni 4.2      ikiwa ni fedha za utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa jengo la utawala, vituo vya Afya na miradi mingine.

Mkutano huo umehudhuliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Johari Samizi ambaye amesisitiza ukusanyaji wa mapato ili kuongeza makusanyo yatakayosaidia uanzishwaji wa miradi mingi ya maendeleo.

Aidha Mkurugenzi wa Halmashauri ameutumia mkutano huo kuwaomba wajumbe wote kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wanawake wajawazito,watoto na watu wengine wenye uhitaji wa damu. Zoezi la kuchangia damu limefanyika hapo Halmashauri ambapo watumishi wengi wamejitoa kuchangia damu.


Akifunga mkutano huo Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Thereza Lusangija amewataka madiwani na viongozi wengine kwenda kuhamasisha ujenzi wa vyoo,ukusanyaji wa mapato,nidhamu na ushirikiano.




Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.