• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

JESHI LA SUNGUSUNGU LAKABIDHIWA KWA DC LUDIGIJA

Posted on: August 22nd, 2023



 Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija amekabidhiwa rasmi jeshi la Sungusungu  na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Johari Samizi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga  kwa Sasa, makabidhiano hayo yamefanyika leo Agosti 22,2023 katika Kijiji cha Sangu.


Mheshimiwa Samizi amelipongeza jeshi la Sungusungu kwa ushirikiano waliouonyesha katika kipindi chote alichokuwa kiongozi katika Wilaya ya Kwimba.


Naye Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ludigija amelitaka jeshi hilo kuendelea kuimarisha ulinzi na kuendelea kufanya kazi kwa ushirikiano


" niendelee kuwashukuru  na kuwapongeza kwa kazi nzuri mnayoifanya kuimarisha ulinzi na usalama, Wilaya imetulia sana hongereni sana na endeleeni kushirikiana na jeshi la police kuimarisha ulinzi" Ludigija


Aidha Mkuu huyo amesisitiza kuwa sasa amekabidhiwa jeshi hilo hivyo atalisimamia kikamilifu "amenikabidhi rasmi jeshi hili na siraha zote za jeshi hili, hapa nilipo simama niko kamili na najiamini kwasababu nimekabidhiwa kila kitu"  Ludigija


Jeshi hilo limewapongeza viongozi hao na kuwapatia zawadi za mifugo ( mbuzi)  kama kumbukumbu ya ushirikiano katika kazi za ulinzi na usalama

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 26, 2023
  • AJIRA MPYA June 08, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA SIASA YA WILAYA YAKAGUA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    September 19, 2023
  • DC AKAGUA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    September 14, 2023
  • VODACOM WAKABIDHI MATUNDU 14 YA VYOO SHULE YA MSINGI MWALUJO

    September 08, 2023
  • ZIARA YA MAFUNZO MIKUMI

    August 28, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.