• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MAKABIDHIANO YA WAKURUGENZI KWIMBA

Posted on: August 26th, 2024


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Dkt. Amon D. Mkoga amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi.  Happiness Msanga ambaye amehamishiwa Halmashauri ya Karagwe.


Akikabidhi ofisi Bi Happiness  amewataka watumishi wa Kwimba kumpatia ushirikiano Dkt Mkoga ili Kwimba iendelee kung'ara katika sekta zote "Mpeni ushirikiano Mkurugenzi, endeleeni kuing'arisha Kwimba" amesema Msanga 


Baada ya kukabidhiwa nyaraka mbalimbali za ofisi Dkt. Mkoga amewataka watumishi wote kufanya kazi kwa ushirikiano huku wakizingatia wajibu wao.


Awali Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri  Mhe. Lameck Hole amewapongeza wakurugenzi wote kwa kuendelea kuaminiwa na Serikali pia amempongeza Bi Happiness  kwa kazi za maendeleo alizotekeleza hapa Kwimba


" sisi kama Halmashauri tunakushukuru sana Mkurugenzi  Happiness  kwa ushirikiano wako kwenye shughuli za maendeleo Kwimba, umefanya mambo makubwa ambayo yalikuwa hayajawahi kutokea" amesema Mhe. Hole 


Naye Afisa Maendeleo ya Jamii wa Wilaya Bi. Rozalia Magoti amewashukuru viongozi hao kwa niaba ya watumishi, pia amemkaribisha Mkurugenzi  Mkoga na amemuahidi ushirikiano " tukuahidi Mkurugenzi tutashirikiana katika kutekeleza majukumu yetu ili kuendeleza  maendeleo ya Kwimba.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.