• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MKURUGENZI WA AMREF AKAGUA MAENDELEO YA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII WANAOSOMA KUPITIA MFUMO WA LEAP

Posted on: May 17th, 2022

Mkurugenzi wa  Shirika la AMREF Bi.Florence Temu  amefanya ziara Kwimba, kukagua maendeleo ya Mradi wa ustawi wa Mwanamke , unaofadhiliwa na  AIRISH AID, ambao umewezesha mafunzo kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii 123  kutoka vijiji na mitaa ya  kwimba ,  wahudumu  hao wamewezeshwa mafunzo ya mama na mtoto, uhamasishaji juu ya uchanjaji wa chanjo ya korona na mafunzo kiganjani kwa kutumia Mfumo wa Leap.Ziara hiyo imefanyika tarehe 16 mei,2022  katika Hospitali ya  Ngudu ambapo Mkurugenzi wa Amref  ameambatana na  VIongozi wa Mkoa , viongozi wengine na wafanyakazi wa  Amref. 


Ziara hiyo ambayo ililenga kutoa Elimu juu ya utumiaji wa mfumo uitwao Leap,mfumo  unaolenga  kutoa mafunzo kwa wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii ili waweze kutoa huduma sahihi kwa wagonjwa hasa watoto na wanawake wajawazito.

" Leap ni mfumo ambao unamsaidia zaidi mwanafunzi kujifunza kupitia simu yake ya mkononi, Mwanafunzi anajifunza kupitia ujumbe na sauti na pia mfumo huu unampa nafasi ya kushirikiana na wenzake ambao wapo kikundi kimoja yaani (Group chati) mbali na hivyo mwanafunzi kila atakapo maliza mada atatakiwa kufanya mtihani na endapo atapata chini ya alama 80 basi atarudia somo aliloshindwa" alisema Gaitano

Mfumo wa Leap unarahisisha sana katika kuwafanya wahudumu wa afya wawe na mafunzo endelevu na kuongeza ufanisi katika kutoa huduma kwa jamii kwa sababu muhudumu anaweza kupata mafunzo bila kujali eneo alipo lakini pia anaweza akapata mafunzo muda wowote bila gharama. Anaitaji kuwa na simu tu na haitaji kuwa na bando la mtandao wala kuchangia gharama yoyote alieleza Elia Msegu Meneja wa mradi wa Ustawi wa Mwanamke


Nae Mkurugenzi wa AMREF Bi.Florence Temu akapata nafasi ya kueleza juu ya  umuhimu wa utoaji Elimu kwa wahudumu hao

" niombe tushirikiane katika kuhakikisha tunatoa Elimu kwa  jamii husika na pia tuhakikishe tunapokwenda kutoa huduma tuwe na vifaa vyote, Bi Florence amewasisitiza Wahudumu hao kutoa huduma kama walivyojifunza ili huduma hizo ziwe na tija kwa jamii.

Mbali na hivyo Mkurugenzi aliapata muda wa kujionea namna wanafunzi( wahudumu wa Afya ngazi ya jamii)  wanavyoweza kutumia mfumo huo wa leap, kisha ametoa pongezi kwa watoa huduma hiyo " niwapongeze Kwimba kwanilivyoona  kupitia kwa mwanafunzi huyu ni hakika  mnatoa  Elimu inayofaa kwa mahitaji ya wahudumu hawa"


Shirika la AMREF linatoa elimu kwa wahudumu wa Afya ngazi ya jamii ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za Afya hasa huduma za Mama mjamzito na watoto ili kupunguza au kuondoa kabisa vifo vitokanavyo na uzazi na kuboresha ustawi wa mwanamke.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.