• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

RC GABRIEL ASHAURI UDHIBITI WA UPOTEVU WA VIFAA VYA UJENZI KUZINGATIWA

Posted on: November 29th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandis Robert Gabriel awataka wasimamizi wa ujenzi wa madarasa kuhakikisha wanajaza  fomu za usimamizi wa vifaa vya ujenzi ili kudhibiti upotevu wa vifaa.


Mhandisi Gabriel ameyasema hayo leo tarehe 29/11/2021 wakati akifanya ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya miradi ya ujenzi wa madarasa katika Shule za Sekondari. Miradi inayotekelezwa kwa fedha za UVIKO-19 ambapo Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba ilipokea Bilion 2.18 kwaajili ya ujenzi wa madarasa 109.


Akiongea katika ziara hiyo Mkuu huyo amesema fomu hizo zinapaswa kujazwa kila siku ili kuonyesha vifaa vinavyokuwa vimetumika katika ujenzi kwa siku husika.


Aidha Mhandisi ameupongeza uongozi waHalmashauri ya  Wilaya ya Kwimba kwa hatua iliyofikiwa ya ujenzi na kwakuona umuhimu wa kununua vifaa vyote vya ujenzi kwa pamoja ili kupunguza gharama na kuokoa kiasi cha fedha ambacho kitaweza kutumika katika shughuli nyingine.


Katika ziara hiyo Mkuu wa Mkoa akishirikiana na viongozi wa Wilaya akiwemo Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wameshiriki shughuli za ujenzi ikiwemo kusogeza tofari na kuchanganya zege katika Shule za Igongwa, Ngudu na Maligisu.


Ziara hiyo imehusisha ukaguzi wa ujenzi wa Madarasa katika Shule za Igongwa, Ngudu, Walla, Iseni na Maligisu ambapo pamoja na kupongeza, wameshauri kasi iongezwe zaidi na usimamizi uendelee kuimarishwa.




Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.