• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

UKUSANYAJI WA MAPATO YATAKIWA KUWA AGENDA YA KILA KIONGOZI

Posted on: May 13th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi  amewataka viongozi wa Wilaya hiyo kutilia mkazo ukusanyaji wa mapato ili kuongeza kiwango cha mapato yanayopatikana Wilayani hapo. Mhe. Samizi ameyasema hayo kwenye Baraza la Waheshimiwa Madiwani lililofanyika tarehe 13 May, 2022 katika ukumbi wa Halmashauti ya Wilaya ya Kwimba.


"napenda kuwakumbusha viongozi wote kuwa swala la ukusanyaji wa mapato katika wilaya hii ni jukumu la kila kiongozi na nieleze tu kuwa fedha hizi tusitumie kwa kujinufainisha wenyewe kwani hatua Kali za Sheria zitachukuliwa kwa yoyote Yule kiongozi atakae tumia fedha hizi kwa kujinufaisha "Mkuu huyo  akaongezea kwa kuhamasisha swala la ushirikiano katika utendaji kazi" lakini pia niombe sisi Kama viongozi tupende kushirikiana katika Mambo yote yaliyopo ndani ya wilaya" alisema Samizi


Hata hivyo katibu wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Bi.Latifa Malimi amewataka Watumishi Idara ya Afya kufanya kazi kwa upendo na kutimiza wajibu wao kwa weledi


"napenda kugusia upande wa Afya  tusimamie vituo vya Afya wagonjwa wapate  huduma kwa usahihi na upendo zaidi.pia  niwapongeze Sana kamati ya Elimu kwa kupiga hatua kutoka nafasi ya chini mpaka kufikisha ufauru nafasi ya juu kwa Hilo hongereni Sana kamati ya Elimu"


Katika Baraza hilo Bi Happiness Msanga Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba amewasilisha taarifa  iliyoonyesha utekelezaji wa miradi mbalimbali na hatua iliyofikiwa, ukusanyaji wa mapato na usimamizi wa Miradi yote inayotekelezwa ndani ya Halmashauri.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.