• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
  • Kituo cha Habari
  • Machapisho
  • Investment Opportunity
  • Miradi

Kitengo Cha Nyuki

Kitengo cha Nyuki

Kitengo cha Nyuki kimeundwa na sehemu 2 ambazo ni:

  • Nyuki
  • Misitu

Nyuki inafanya kazi zifuatazo:

  • Kusimamia uanzishaji wa hifadhi za nyuki na manzuki
  • Kutangaza sera na sheria za ufugaji nyuki
  • Kukusanya takwimu za rasiliali na ufugaji nyuki
  • Kupanga na Kupima ubora wa mazao ya nyuki
  • Kutoa elimu juu ya mbinu bora za ufugaji nyuki na uhifadhi wa bioanuai

Misitu inafanya kazi zifuatazo

  • Kusimamia upandaaji na uhudumiaji wa miti na misitu
  • Kusimamia uendelezaji wa misitu ya kupandwa na ya asili
  • Kufanya utafiti wa misitu
  • Kutekeleza sera na sheria za misitu
  • Kukusanya Takwiu za Misitu
  • Kupanga na kupima madaraja ya mbao
  • Kudhibiti leseni na uvunaji wa miti
  • Kutoa ushauri na mafunzo kwa wananchi juu ya uendeleaji na matumizi endelevu ya miti kwa wananchi
  • Kufanya ukadiriaji wa rasilimali za misitu
  • Kupima maeneo na kuchora ramani za misitu

Matangazo

  • Tangazo la kazi Dereva Draja la II nafasi 4 July 17, 2018
  • Kuitwa kwenye usaili September 04, 2018
  • Matokeo ya Usaili Wauguzi,matabibu na wateknolojia maabara May 27, 2018
  • Mkutano wa Baraza la Madiwani robo ya tatu Januari - Machi 2017/2018 May 22, 2018
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • Mhe.Senyi Simon Ngaga apokea mwenge wa uhuru katika kijiji cha Izizimba A Wilaya ya Kwimba.

    August 26, 2018
  • Mhe. Jaffo apongeza ujenzi wa kituo cha kutolea huduma za Afya Malya

    July 05, 2018
  • Watoa huduma watakiwa kuzingatia mafunzo ya mifumo ya kielektronikia

    March 19, 2018
  • DC-Kwimba Auomba Uongozi wa Wilaya Kutambua Wajibu Wake Katika Kutekeleza Mradi wa Mama na Mtoto

    January 24, 2018
  • Onyesha zote

Video

Marufuku ya Michango Shuleni
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.