• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MAANDALIZI YA KUPOKEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2021 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA YAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 80.

Posted on: December 3rd, 2020

Timu ya menejimenti ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bibi. Pendo Malabeja ilitembelea na kukagua maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato cha Kwanza kwa siku tatu mfululizo . Timu ya menejimenti iliweza kujionea maandalizi ya kupokea wanafunzi, kufanya vikao na wajumbe wa WDC wakiwemo waheshimiwa madiwani wa kata husika ili kufanya tathmini ya pamoja ya hali ya madarasa na madawati, kubadilishana uzoefu na kutoa hamasa kwa wananchi kuchangia shughuli za maendeleo. Timu ilijiridhisha kuwa maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule za Sekondari yamefikia zaidi ya asilimia 80.

Bibi.Pendo Malabeja Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba akiongozana na Timu ya menejimenti pamoja na wajumbe wa WDC wakifanya kikao kazi cha kutathmini mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza kwa mwaka 2021 katika kata ya Mwakilyambiti.


Timu ya viongozi wa Halmashauri wakikagua madarasa kwa ajili ya mapokezi ya kidato cha kwanza Shule ya Sekondari Nyamigamba kata ya Bugando.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WASTAAFU WA WILAYA YA KWIMBA January 08, 2021
  • Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Kukagua na Kuhamasisha Miradi ya Maendeleo Katika Tarafa ya Mwamashimba kuanzia Tarehe 12-14/06/2019 June 12, 2019
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA BVR KIT OPERATOR NA Waandikishaji Wasaidizi. August 11, 2019
  • MATOKEO YA DARASA LASABA/ WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 (KWIMBA) December 07, 2019
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • MHE.KUNDO AAHIDI KUTOKOMEZA TATIZO LA UPATIKANAJI WA MTANDAO KATA YA BUGANDO

    January 08, 2021
  • MAANDALIZI YA KUPOKEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2021 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA YAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 80.

    December 03, 2020
  • MAAFISA UGANI WAPATA MAFUNZO YA KILIMO CHA KOROSHO

    December 22, 2020
  • DC ANG'AKA AWATAKA WATUMISHI WASIOTAYARI KUFANYA KAZI WAJIONDOE KWENYE UTUMISHI.

    December 16, 2020
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.