• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

Mhe.Omary Kipanga awapongeza wasimamizi wa ujenzi wa Chuo cha VETA Kwimba

Posted on: July 23rd, 2021


Naibu Waziri Wizara ya  Elimu Mheshimiwa Omary Juma Kipanga amefanya ziara Wilayani Kwimba leo tarehe 23 Julai 2021 kukagua ujenzi wa Chuo cha Ufundi VETA.


Katika ziara hiyo Mhe.Kipanga amepongeza juhudi za wahandisi na msimamizi wa ujenzi  huo kwa hatua waliyofikia na ubora wa majengo,amewapongeza mafundi wanaoshiriki ujenzi huo pamoja na Jeshi la Magereza kwa ushirikiano wanaoufanya kuhakikisha majengo yote yanajengwa kwakiwango kinachotakiwa.


Katika ziara hiyo Mheshimiwa Kipanga ameahidi kuleta fedha zilizopelea kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa Chuo hicho. " tutamaliza ujenzi huu iwe jua iwe mvua iwe usiku iwe mchana naahidi tutamaliza" amesema Kipanga.


Akisoma taarifa ya mradi huo msimamizi wa mradi Mhandisi Juliana Magesa Kaimu Mkuu wa Chuo cha VETA Kagera. amesema majengo 16 yanajengwa yakiwemo madarasa, mabweni,vyoo,nyumba za watumishi,jengo la utawala,na kalakana.Ambapo jumla ya bilion 1.6 zilipokelewa na zimekwisha tumika na majengo yamefikia asilimia 86 hivyo ameomba kuongezewa kiasi cha milioni 502 ili kukamilisha ujenzi huo.


Aidha Naibu Waziri ametoa rai kwa msimamizi wa mradi huo kuendelea kusimamia fedha za Serikali kwa umakini kwani jukumu la ujenzi wa vyou ni kubwa hivyo usimamizi uongezwe ili vyuo hivyo vilete tija kwa Taifa.


Naibu Waziri amesisitiza watumishi na watu wote wanaoshiriki ujenzi huo kuendelea kuwa wazalendo,waadilifu,waaminifu na wamuogope Mungu wanapofanya kazi za Serikali ili kusitokee udanganyifu wowote katika kazi ya ujenzi.


Ujenzi wa Chuo hicho ulianza Februali 2020 na unatarajiwa kukamilika Septemba  2021 endapo fedha za kukamilisha zitafika kwa wakati

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.