• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

BALOZI WA PAMBA AGGREY MWANRI AWATAKA WANAKWIMBA KUIRUDISHA KWIMBA KUWA MZARISHAJI BORA WA PAMBA

Posted on: November 5th, 2021

"Hapo zamani za kale Pamba iliwahi kuongoza,Kwimba ikatamkwa kwamba ndiyo ilikuwa Wilaya ya Kwanza kuzalisha pamba vizuri, sasa nin kilichotokea?


Maneno hayo yamesemwa na Balozi wa Pamba Mhe. Aggrey Mwanri  alipokuwa akitoa elimu ya kilimo bora cha Pamba kwa Maafisa Ugani, Watendaji wa Kata na Vijiji na watumishi wengine wa Halmashauri leo tarehe 05/11/2021 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Ngudu.


Katika mafunzo hayo Mwanri amewataka Maafisa hao kwenda kuwa mabalozi kwa kuwafundisha Wananchi namna bora ya kilimo cha pamba ili waweze kupata mavuno mengi na wapate pamba safi.


Amesisitiza kuwa Wakulima wanaolima kwa kufuata utaratibu unaotakiwa wanafanikiwa sana kwani wanaouwezo wa kupata pamba nyingi mara tatu zaidi ya mkulima anayelima kilimo holela.


" Tumekuja kuchaji betri zenu, kuweka pumzi nyingine kwa wanakwimba ili mlime Pamba kisasa, kilimo cha Faida"

   amesema Mwanri


Katika mafunzo hayo ameshiriki Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi ambaye amemuahidi Mwanri kufanyia kazi mafunzo aliyoyatoa kwa kuhakikisha Wananchi wanalima Pamba kisasa ili waweze kujiongezea kipato kwa kuzalisha pamba nyingi zaidi ili kuiwezesha Kwimba kurudi kwenye nafasi yake ya kuwa mzarishaji bora wa Pamba.


Naye Mkurugenzi Mtendaji Bi. Happiness Msanga amewataka Maafisa wote walioshiriki mafunzo hayo kwenda kuwafundisha Wakulima wa pamba ili wanapoanza msimu wa kilimo cha pamba   walime kisasa.


Balozi Aggrey Mwanri amedhamilia kuirudisha Kwimba kuwa mzarishaji bora wa Pamba hivyo  atapita katika baadhi ya vijiji kutoa elimu ya kilimo bora cha Pamba kwa Wananchi ili atengeneze mabalozi wengine wengi  wa zao la Pamba.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.