• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MADIWANI WASHAURIWA KUTIA CHACHU YA MAENDELEO 'DC' NGAGA

Posted on: January 13th, 2021

 Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Senyi Simon Ngaga akifungua mafunzo ya Madiwani  tarehe 13/01/2021 katika ukumbi wa Halmashauri ya Kwimba  amewaasa  Madiwani kuzingatia mafunzo wanayopewa ili yakawasaidie kusimamia utaratibu utakaoleta maendeleo katika Kata zao,amesisitiza kuwa wananchi wanaimani na Serikali kutokana na mazuri yaliyofanyika awamu iliyopita hivyo Madiwani wameaswa kwenda kuyaendeleza mazuri yote.DC amewaasa  Madiwani kwenda kufanya kazi kwa weredi na kuhamasisha wananchi kufanya kazi za maendeleo na amewataka wakawashauri wananchi  kujiunga na bima ya Afya iCHF iliyoboreshwa ili wawe na uhakika wa matibabu kwani Afya bora ndio  mtaji.


 Aidha DC amesema Halmashauri ya  Kwimba imejiandaa kupokea wanafunzi wote wa kidato cha kwanza, meza, viti na madarasa vimeshaandaliwa na vichache vinaendelea kuandaliwa hivyo wanafunzi wote wanaendelea kupokelewa  katika Shule walizopangiwa na amesisitiza kuwa 'hakuna Mwanafunzi atakaye somea chini ya mti'. Ameongeza kuwa Halmashauri imeanzisha  Shule mpya za Sekondari nne ambapo Shule mbili yaani Shilembo na Hungumalwa ziko tayari kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza,vilevile amesema Halmashauri inamikakati ya Kujenga Shule ya Sekondari ya wasichana ya Wilaya ili kukabiliana na changamoto wanazopata wanafunzi wa kike.


Katika tukio hilo Mhe. Ngaga ametoa hati za viwanja kwa wananchi ambao hati zao zilikua tayari na amemshauri Afisa Ardhi kujitahidi kuandaa hati nyingi zaidi kulingana na maelekezo ya Wizara.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.