• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

DC AAHIDI KUWAVALIA NJUGA WOTE WANAOWAPA MIMBA WANAFUNZI

Posted on: September 9th, 2022


Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Johari Samizi ameahidi kuwachukulia hatua wote watakaothibitika kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi. Ameyasema hayo leo tarehe  9/9/2020 kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Ngudu wakati akifanya uzinduzi wa miongozo ya Elimu

“ ikithibitika unafanya mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi au umempa mimba mwanafunzi sikuachi lazima ufungwe tu, na hapa tuelewane walimu wapendeneni wanafunzi,waleeni na kuwatunza kama watoto wenu, Mwalimu atakayethibitika anamahusiano ya kimapenzi na  Mwanafunzi atafungwa hili nitalisimamia” amesema Samizi

Aidha Mkuu huyo amewataka Maafisa Elimu kuweka mikakati itakayowasaidia wanafunzi kufanikiwa katika masomo yao ikiwa ni pamoja na kubadiri mfumo wa masomo yaani wanafunzi wakienda Shuleni wasome hadi saa nane kisha warudi nyumbani,  siyo kwenda na kurudi kama ilivyo sasa kitu kinachopelekea wanafunzi wengi kuchoshwa na safari ya kwenda na kurudi hivyo kupelekea wanafunzi wengi kuwa watoro na wengine kuacha masomo

Miongozo hiyo iliyozinduliwa ni mwongozo wa uteuzi wa viongozi wa Elimu,mwongozo wa kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji kwa Elimu Msingi na mwongozo wa changamoto katika uboreshaji wa Elimu Msingi na Sekondari. Miongozo hiyo  imelenga kuongeza idadi ya wanafunzi wanaokamilisha mzunguko wa Elimu na kukabiliana nachangamoto zinazohafifisha malengo ya  wanafunzi.

Walimu walioshiriki uzinduzi huo wameahidi kwenda kufanyia kazi miongozo hiyo na kuhakikisha wanawasaidia wanafunzi kufikia ndoto  zao.


Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.