• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

DC AKAGUA MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA KIDATO CHA TANO SHULE YA SEKONDARI TALLO.

Posted on: July 13th, 2020

Mhe:Senyi Ngaga Mkuu wa Wilaya ya Kwimba akiwa ameambatana na kamati ya ulinzi na usalama,kaimu mkurugenzi na Afisa Elimu Sekondari wamekagua maandalizi ya mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Tallo.Shule ya sekondari Tallo imechaguliwa kuanza kupokea wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu ambapo inatarajia kupokea wanafunzi wa kiume 80 wa tahasusi za EGM na HGK.


  Katika ziara hiyo Mhe: Ngaga ameshauri tatizo la upatikaji wa maji litafutiwe ufumbuzi haraka ili wanafunzi wasitumie muda mrefu kufuata maji kwa ajili ya matumizi yao,hii imetokana na kisima kuwa mbali kidogo na mazingira ya shule.Pia Mhe:Ngaga ametembelea karakana mbalimbali zinakotengenezwa samani za wanafunzi ikiwemo viti na meza,vitanda na meza za bwaloni.



Aidha DC ameshauri bweni moja kupewa jina la Mhe:Richard Ndasa aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Sumve ili iwe kumbukumbu ya kile alichokifanya wakati wa uhai wake kufanikisha upatikanaji wa mabweni hayo kwa ajili ya kuanzisha kidato cha tano na sita.


Mkuu wa shule hiyo Mwalimu:Fadhili Yusufu amesema "tunaendelea na maandalizi ya vifaa na mazingira kwa ujumla ifikapo tarehe 16,Julai 2020 tunatarajia vifaa vyote vya bwenini na darasani vitakua vimeshakamilika,baadhi ya vifaa kama vitanda vimeshafika na vingine viko hatua ya kumalizika".Aidha Mwalimu Fadhili  ameahidi kuyafanyia kazi maelekezo na ushauri wote aliopewa na viongozi hao ili wanafunzi watakapofika shuleni hapo kilakitu kiwe kimekamilika kwa wakati.

  

  

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.