• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

DC AZINDUA BWALO NA MADARASA KWA AJILI YA KIDATO CHA TANO TALLO SEKONDARI

Posted on: August 17th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Senyi Saimon Ngaga amefanya uzinduzi wa madarasa mawili na bwalo kwa ajili ya uanzishwaji wa kidato cha tano katika shule ya sekondari Tallo.

Katika hafla hiyo Mkuu wa Shule hiyo  Mwalimu Yusufu Fadhili akisoma risala amesema shule ya Tallo ina jumla ya wanafunzi 566 kuanzia kidato cha kwanza hadi cha tano ambapo kidato cha tano ndio kimeanzishwa mwaka huu na jumla ya wanafunzi 56 wamesharipoti.Akielezea maandalizi yaliyofanyika kwa ajili ya kuanzisha kidato cha tano Mkuu wa Shule amesema jumla ya milioni 250 zimetumika kuandaa miundombinu ikiwemo ujenzi wa mabweni mawili,ukarabati wa bwalo,ujenzi wa jiko,ujenzi wa madarasa mawili,ujenzi wa vyoo,na ununuzi wa vitanda,meza za chakula na meza na viti vya kusomea. 


Mkuu wa Wilaya akiongea na watu waliohudhuria kwenye hafla hiyo amewataka wanafunzi hao wa kidato cha tano kusoma kwa bidii ili lengo liweze kutimia,pia amewapongeza walimu wa shule hiyo kwa ushirikiano waliouonyesha wakati wa maandalizi ya upokeaji wa wanafunzi hao.Aidha Mhe Ngaga ameongelea Taifa limefikia uchumi wa kati hivyo wanafunzi wanatakiwa wasome ili kuondoa ujinga kwani hatuwezi kuimarisha uchumi wa kati kama nchi itakua na wajinga amesema serikali inatoa fedha nyingi katika idara ya elimu ili wanafunzi wasome bila matatizo.Pia Mkuu wa Wilaya amesema serikali imefanya miradi mingi ya maendeleo katika wilaya ya Kwimba hivyo wananchi tuitumie miradi hiyo kutuletea maendeleo ili tuendane na uchumi wa kati.

Afisa Elimu Sekondari amemshukuru DC kwa kufika katika hafla hiyo na ameahidi kufanyia kazi maelekezo yote yaliyotolewa na Mkuu wa Wilaya na ameishukuru serikali kwa kuendelea kuleta fedha za kuboresha miundombinu ya shule katika Wilaya ya Kwimba.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.