• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

DC AZINDUA OFISI YA SUNGUSUNGU NYANG'HONGE-KWIMBA

Posted on: July 31st, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Senyi S.Ngaga amezindua ofisi ya Sungusungu kijiji cha Nyang'honge,jengo hilo lina vyumba viwili vya ofisi na kaukumbi kadogo kwaajili ya vikao.Katika uzinduzi huo DC amekagua boma la darasa na ofisi ya walimu ambalo limejengwa na jeshi hilo la sungusungu katika shule ya Msingi Nyang'honge.pia amewashauri wananchi wote kupeleka watoto wao shule na kuhakikisha wanafunzi wanasimamiwa ili kumaliza masomo yao na kuongeza idadi ya wasomi katika kijiji chao ili kuongeza chachu ya maendeleo.



Katika sherehe hiyo imefanyika harambee kwaajili ya umaliziaji wa jengo hilo la darasa na ofisi ya walimu ambapo kiasi cha milioni tano kimepatika,DC na msafara alioongozana nao amewaahidi bati na vifaa vingine vya thamani ya milion mbili, wananchi na vikundi mbalimbali vya sungusungu wamechangia fedha taslim milion tatu. 

DC akiwahutubia wananchi wa kijiji hicho amelipongeza jeshi hilo la sungusungu kwa kuona umuhimu wa kujenga darasa na ofisi ya walimu katika shule ya Msingi Nyang'honge kwani wanafunzi watakao anza darasa la kwanza mwaka ujao hawatapata changamoto kwani wana vyumba vya kutosha kulingana na idadi ya wanafunzi walionao.Pia DC amelipongeza jeshi hilo la Sunguaungu kwa kujenga ofisi yao kwani itarahisisha upatikanaji wao.Pamoja na hayo DC amewashauri sungusungu hao kuanzisha mradi utakaowaongezea kipato katika kikundi chao.



Aidha DC amewashauri wnanchi wa kijiji hicho kujenga nyumba bora za tofali za kuchoma na bati ili kuongeza maendeleo katika kijiji hicho, amesema "tuhakikishe kwenye senta zetu tunaondoa nyumba za nyasi ili tunapoletewa umeme tuwe kwenye nyumba nzuri na bora , kuna watu wana ng'ombe 100 hadi 500 lakini wanaishi kwenye nyumba za nyasi,tuuze ng'ombe chache tujenge nyumba bora na nzuri za kisasa"


Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.