• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

DC JOHARI AAGIZA UKUTA ULIOJENGWA KWA TOFARI ZISIZO NA UBORA UBOMOLEWE

Posted on: August 13th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Mussa Samizi amewaelekeza viongozi wa kijiji cha Igumangobo kubomoa sehemu ya ukuta uliojengwa kwa tofari zisizo na ubora. Haya yamejitokeza jana tarehe 12.Agosti 2021 Kijiji cha Igumangobo  Kata ya Mwamala ambapo Mheshimiwa Samizi alikuwa akifanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa katika tarafa ya Mwamashimba.

Mkuu huyo ametoa maelekezo hayo baada ya kukagua jengo la Zahanati na kugundua baadhi ya tofari za jengo hilo hazina ubora unaotakiwa kulingana na vigezo vinavyotolewa na wataalamu.

" kama mkono wangu unamomonyoa tofari basi  hili tofari halifai mnataka hili jengo liwaangukie watu? huu upande uliojengwa na haya matofari mabovu ubomolewe" amesema Johari

Aidha Mkuu huyo amesisitiza majengo yote yanayojengwa Wilaya ya Kwimba hata kama wanaojenga ni Wananchi kwa nguvu zao lazima wazingatie maelekezo ya Wahandisi ili majengo yaendane na ubora unaotakiwa ili kuepuka majanga yanayoweza kujitokeza kutokana na majengo yasiyo na ubora.

Katika ziara hiyo Mkuu wa Wilaya ametembelea Kata zote za Tarafa ya Mwamashimba na kuongea na viongozi wa maeneo hayo, amewasisitiza viongozi kusimamia vizuri miradi inayotekelezwa katika maeneo yao ya kazi na kuwa wawazi kwa wananchi ili wananchi wafahamu miradi inayotekelezwa na Serikali vilevile amewahimiza viongozi hao kuwasomea wananchi mapato na matumizi  ili Wananchi wajue kila kinachoendelea katika vijiji vyao.

Mkuu huyo amewataka viongozi wote wa vitongoji,vijiji na kata kuhakikisha wanaanzisha Benki ya matofari ya kuchoma ili kuweza kukabiliana na upungufu wa miundombinu mbalimbali unapojitokeza.Amewataka kila kijiji kuanza na matofari  yasiyopungua 100,000.Vilevile amewasisitiza Wataalamu ngazi ya vijiji na Kata kuendelea kuboresha huduma wanazozitoa kwa jamii.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.