• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

DC JOHARI AKABIDHI OFISI KWA DC LUDIGIJA

Posted on: February 6th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Arch.Ng'wilabuzu  Ndatwa Ludigija Leo Februari 6,2023 amekabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Johari Samizi ambaye amehamishiwa Wilaya ya Shinyanga.


Akiongea katika makabidhiano hayo Mhe. Samizi amewashukuru viongozi wote na wananchi Kwa ushirikiano waliompatia kipindi cha uongozi wake hapa Kwimba,pia ameshauri kasiya usimamizi wa miradi iliyokuwa inatumika iendelee ili Kwimba isonge mbele zaidi.


Naye Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Ludigija amewaomba wananchi na viongozi wote kumpa ushirikiano Ili kusukuma gurudumu la maendeleo ya Kwimba.


Aidha amesisitiza suala la ushirikiano, uwajinikaji na kujituma katika kufanya kazi  Kwa watumishi wa umma

" Mimi  napenda matokeo kwahiyo niwaombe Kila mtu kwa nafasi yake tufanye kazi tuibadirishe Kwimba, Kwimba ni Wilaya kongwe sana lakini bado tuko nyuma ukilinganisha na Wilaya jirani kwahiyo tupambane kuiinua kiuchumi.Vilevile Kwa kipindi nitakachokuwepo Kwimba Kila mwananchi atatakiwa kuwa na shamba la Pamba lisilopungua heka moja, tunataka tulitumie zao hili kuinua uchumi wa familia, Halmashauri na Taifa kwaujimla" Ludigija


Wakuu wa Wilaya hao wamemshukuru Mheshimiwa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwaamini katika utumishi wao na wameahidi kutomwangusha katika utendakazi wao.


Katika makabidhiano hayo wameshiriki viongozi mbalimbali ambao wamempongeza Mkuu wa Wilaya anayeondoka Kwa ushirikiano aliokuwa anauonyesha katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo na wamemkaribisha Mkuu aliyekuwa na kuahidi kushirikiana naye.


 " tunakushukuru sana Mheshimiwa Johari Kwa ushirikiano uliotupatia hivyo tunakuombea na huko unakokwenda ukauendeleze, wewe ni mwanakwimba na tutaendelea kushirikiana na wewe hata  ukiwa huko Shinyanga " amesema  Mhe. Sabana Rushu Mwenyekiti CCM Wilaya

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.