• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

DC SAMIZI AKEMEA WANANCHI WANAOVAMIA MAENEO YA TAASISI

Posted on: November 14th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Johari Samizi amekemea tabia ya Wananchi kuvamia maeneo shule na kufanya shughuli za kilimo. Ameyàsema hayo leo tarehe 14, Novemba 2022 katika mkutano na Wananchi wa kijiji cha Ligembe.

"Mahakama ilishatoa maamuzi kuwa eneo ni mali ya Shule sasa wewe raia unayeona hukuridhika na maamuzi hayo rudi mahakamani lakini siyo kuwatisha walimu kwa mapanga, fimbo na siraha nyingine, nakemea tabia hiyo na atakayekamatwa anafanya vurugi kwenye eneo la shule hatua za kisheria zitachukuliwa" amesema Samizi


Mkuu huyo ameyasema hayo baada ya mgogoro wa ardhi kuibuka kati ya wanafamilia wa Busanda na Shule ya Ligembe,  ambapo Mahakama ilishatoa hukumu iliyoelekeza kuwa eneo ni mali ya shule lakini familia hiyo inaonekana kutokubaliana na uamuzi wa mahakama.


Aidha Mkuu wa Wilaya amewataka wananchi kutojichukulia sheria mkononi, na kufanya fujo na kuhatarisha usalama. Katika Mkutano huo wananchi wa kijiji cha  Ligembe wameitaka familia ya Busanda  kuacha kuvuruga amani katika kijiji hicho kwani wanaamini mgogoro uliisha baada ya mahakama  kutoa hukumu


"mgogoro huu sisi tulishakaa tukaumaliza tumeshangaa kuona  leo tunaitwa tena  kuambiwa mgogoro ambao mahakama ilishaumaliza, sisi hatutaki kusikia,  huu mgogoro haupo tunachotaka shule yetu isiingiliwe na mtu" amesema Isaya Yona mwananchi


Akitoa ufafanuzi juu ya hukumu iliyotolewa na mahakama Afisa Ardhi ( W) Ndugu Wicklif Benda amesema mahakama ilijiridhisha kuwa eneo ni mali ya shule baada ya kufatilia usajili wa shule ulioanza zaidi ya miaka 40 iliyopita na vigezo vingine vilivyobainisha kuwa eneo ni mali ya shule.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.