• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

DC SAMIZI ATOA RAI KWA VIONGOZI WA HALMASHAURI KUSHIRIKI KATIKA MRADI UNAOTEKELEZWA NA FEDHA ZA UVIKO-19

Posted on: November 3rd, 2021

Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wameaswa kushiriki katika ujenzi wa madarasa, mradi unaotekelezwa kwa fedha za UVIKO-19 ambapo madarasa 109 yanajengwa katika shule za Sekondari.


Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Mussa Samizi leo tarehe 03/11/2021  katika baraza la Madiwani. Mheshimiwa Samizi  amesisitiza kuwa Madiwani na viongozi wengine wote  wanapaswa kumshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuona umuhimu wa kuleta fedha nyingi ili kujenga madarasa ambayo yakikamilika yatapunguza au kuondoa kabisa changamoto ya upungufu wa madarasa katika baadhi ya Shule.


" tunachotakiwa kufanya ni kumshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea fedha za ujenzi wa madarasa kitu ambacho hakijawahi kutokea kwa Serikali kupeleka fedha nyingi Nchi nzima kwa wakati mmoja lakini jambo hili limewezekana katika Awamu hii ya sita, hivyo niwaombe tushiriki kusimamia na kuhakikisha miradi yote inakamilika kwa wakati". amesema Samizi


Katika Baraza hilo Waheshimiwa Madiwani wameweza kueleza jinsi  tatizo la upungufu wa madarasa linavyoongezeka siku kwa siku baada ya mwitikio  wa wanafunzi kujiunga na Elimu ya Sekondari kuwa mkubwa kutokana na Sera ya Elimu bila malipo.


Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi.Happiness Msanga amesema Serikali haijaishia kwenye ujenzi wa madarasa tu bali imelata milioni 500 kwaajili ya ujenzi wa Vituo vya Afya viwili yaani Kituo cha Afya Bungulwa  ambacho ujenzi  unaendelea na Kituo cha Afya Kikubiji.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.