• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

DC SAMIZI AWASIHI WATENDAJI, MAAFISA UGANI, VIONGOZI WA VIJIJI NA AMCOS KUFANYA KAZI

Posted on: November 13th, 2021

Ameyasema hayo leo tarehe 13,Novemba 2021 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Ngudu  wakati akifunga kikao cha majumuisho ya zoezi la uhamasishaji wa kilimo bora  cha pamba.

Mkuu wa Wilaya Mhe.Johari Samizi amewasisitiza viongozi wote kwenda kufanya kazi ya kuhakikisha wakulima wote wanalima kama walivyofundishwa ili uzalishaji uwe wenye tija na ili lengo la kuzalisha tani elfu 30 liweze kufikiwa.

Amewataka watendaji kuhakikisha mbegu za pamba zinatolewa kwa wakulima na kuhakikisha zinaenda kupandwa kama lengo lilivyo, amewaonya wale wote watakaochukua mbegu za pamba na kwenda kuzifanyia kazi nyingine  hatua kali za kisheria zitachuliwa dhidi yao.Mkuu huyo wa Wilaya amemuahidi Balozi kuwa elimu iliyotolewa itafanyiwa kazi na anatarajia mabadiriko makubwa katika kilimo cha zao la Pamba

" kutokana na elimu uliyoitoa Mheshimiwa Balozi nikuahidi tu kwamba tutaenda kuifanyia kazi na tunategemea kupitia elimu hii tuirudishe kwimba katika nafasi yake ya awali ya kuongoza zao la Pamba " amesema Samizi

Katika kikao hicho Balozi wa Pamba Tanzania Mhe. Aggrey Mwanri amewataka viongozi wote walioshiriki kikao hicho kwenda kusimamia maelekezo yaliyotolewa kwa wakulima ili wakulima hao waweze kulima kilimo chenye tija, pia amesisitiza kuwa wakulima wadogowadogo wanahitaji kushikwa mkono kwa kusimamiwa na kuelekezwa ili  wafanye kilimo chenye manufaa.

" wakulima wadogowadogo ni kama mtoto mdogo ambaye anashikwa mkono ili kuvuka barabara kwaio tuwashike mkono wakulima wetu ili watoke kwenye kilimo kisicho na tija kilimo cha kushughulika waachane nacho ili walime kilimo cha mradi" amesema Mwanri

Naye Afisa  kilimo wa Wilaya Magreth Kavalo amewapangia majukumu kwa kuwapanga katika vikosi kazi vitavyoweza kusimamia zoezi la kilimo bora cha Pamba, pia amewataka kwenda kuwahamasisha wakulima kulima mazao yote yakiwemo yale yanayostahimili mvua chache ili kuwe na uhakika  wa kupata chakula kwa mwaka ujao, pia amesisitiza kuwa hali ya hewa inavyoonyesha mvua zitakuwa chache hivyo wananchi waambiwe umuhimu wa kupanda Pamba kwani zao hilo linastawi kwa mvua kidogo tu.




Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI

    May 18, 2025
  • WAUGUZI WATAKIWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA

    May 12, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEIMOSI YAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

    May 01, 2025
  • MKURUGENZI AWATAKA WATUMISHI WOTE KUFANYA KAZI KWA UPENDO NA UADILIFU

    April 28, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.