• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

DC SAMIZI AWATAKA WATENDAJI WA KATA NA WAKUU WA SHULE KUSIMAMIA KWA UAMINIFU MIRADI INAYOTEKELEZWA KWA FEDHA ZA UVIKO-19

Posted on: October 26th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari M. Samizi amewataka Watendaji wa Kata na Vijiji na Wakuu wa Shule wanaoshiriki usimamizi wa utekelezaji wa miradi itokanayo na fedha za UVIKO-19 kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa na kukamilika kwa wakati.

Ameyasema hayo katika kikao kilichofanyika tarehe 25 Oktoba,2021 kwenye Ukumbi wa Ngudu Sekondari ambapo amewaelekeza viongozi hao kuhakikisha madarasa yanayojengwa yanakamilika kwa fedha iliyoletwa na Serikali.Mkuu huyo amesisitiza kuwa hategemei kuona mradi wowote kuchelewa kukamilika kwa visingizio visivyo na tija,

" kila mradi utekelezwe kulingana na fedha iliyotengwa hakutakuwa na fedha za kuongezea rabda fedha zibaki ili zifanye kazi nyingine na mradi uwe umekamilika kwa viwango vinavyotakiwa"   amesema Samizi

Aidha katika Kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji Bi.Happiness Msanga amesisitiza uwajibikaji,uadilifu na uaminifu kwa watendaji na Walimu hao wanaoshiriki usimamizi wa miradi hiyo. Amewataka kutojishirikisha na vitendo vyovyote vitakavyopelekea miradi kukwama kwani hatua kali za kisheria zitachuliwa kwa yeyote atakayebainika.

Wilaya ya Kwimba imepokea kiasi cha shilingi Bilion 2.18 fedha za UVIKO-19  kwaajili ya ujenzi wa madarasa 109 ya shule za Sekondari




Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.