• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

DC SAMIZI AZINDUA MWEZI WA AFYA NA LISHE KWA MTOTO KWA KUWANYWESHA MATONE YA VITAMINI A

Posted on: December 2nd, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Mussa Samizi awataka wazazi wote kuwanyonyesha watoto kwa miezi sita ya mwanzo bila kuwapatia chakula kingine.


Ameyasema hayo leo tarehe 02,Disemba 2021 kwenye hospitali ya Ngufu  wakati akifanya uzinduzi wa mwezi wa Afya na lishe kwa Mtoto kwa kuwapatia watoto chanjo za matone ya viatamin A, Akiwahutubia wazazi waliofika kliniki kwaajili ya watoto wao amesema ili mtoto apate Afya na Lishe bora anatakiwa kunyonya maziwa ya mama pekee kwa miezi sita ya mwanzo  bila kuchanganyiwa vyakula vingine, kufanya hivyo kunamfanya mtoto kuwa na Afya bora.


Katika uzinduzi huo Mkuu wa Wilaya ametoa wito kwa wazazi  na jamii kwa ujumla kufanya mambo yafuatayo:-

kunyonyesha watoto maziwa ya mama pee kwa miezi sita ya mwanzo, kuhamasisha ulaji na uzalishaji wa vyakula vyenye wingi wa vitamini na madini vinavyopatikana katika maeneo yetu, kuhamasisha ulaji wa vyakula vilivyoongezewa vitamin na madin, kuzingatia usafi wa mazingira na usalama wa chakula, na kuwapeleka watoto kwenye vituo vya Afya ili kufatilia  ukuaji na maendeleo ya mtoto.


Aidha Mkuu huyo amesisitiza kuwa lengo la kuadhimisha mwezi wa lishe ni kuboresha Afya ya mtoto na kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa.


Maadhimisho ya mwezi wa Afya na lishe ya mtoto hufanyika kila mwaka kuanzia tarehe 1, Disembà ambapo watoto wenye umri wa miezi sita hadi  miaka mitano hupewa huduma mbalimbali za kiafya katika vituo vyote vya kutolea huduma za Afya.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.