• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

ELIMU YA MATUMIZI YA VIUWADUDU NA VINYUNYIZI YATOLEWA

Posted on: February 4th, 2023

Balozi wa Pamba Mheshimiwa Aggrey Mwanri akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Arch.Ngw'ilabuzu Ludigija  Leo Februari 4,2023 wametembelea wananchi wa Kijiji cha Ilumba na Talaga ambapo wametoa elimu ya namna bora ya kumwagilia sumu ya kuuwa wadudu wanaoharibu Pamba.


Akiongea na wananchi hao Mwanri amewataka kufuata kanuni za upimaji wa dawa na kuzingatia hatua za kuchanganya dawa hizo na maji kulingana na ukubwa wa kifaa kinachotumika.


Aidha amewashauri wakulima kuacha kuchanganya Pamba na mazao mengine kwani kufanya hivyo nikukiuka kanuni za kilimo cha pamba pia kunapunguza kiwango cha pamba inayopatikana kwani wadudu wanaoshambulia mazao hayo yakishavunwa huhamia kwenye pamba na kuharibu kabisa zao hilo.


Naye  Mkuu wa Wilaya ameitumia ziara hiyo kujitambulisha Kwa wananchi na kutoa rai yake Kwa wakulima wote kulima mazao ya chakula na mazao ya biashara Ili kukuza uchumi wa wananchi na Wilaya Kwa ujumla

" Pamoja na kulima mazao ya chakula, mwaka kesho Kila familia itatakiwa kuwa na shamba la Pamba lisilopungua heka moja, hiyo itatakiwa kulimwa bila kuchanganywa na mazao mengine" amesema Ludigija


Vilevile amewataka wananchi kuzingatia elimu inayotolewa na balozi wa Pamba  pamoja na Maafisa ugani Ili iwasaidie kuokoa Pamba ambayo imeshaanza kushambuliwa na wadudu.


"Wakulima mmesikiliza maelekezo yanayotolewa hapa na Mwanri, wito wangu kwenu tumieni elimu hiyo kuokoa hii pamba ambayo inaonekana kuanza kushambuliwa, pia mkawe mabalozi Kwa wengine maana nyie mmeona hatua zote za kupulizia wafundisheni wengine Ili tuokoe pamba yetu"


Wakulima wameshauriwa kupulizia dawa muda ambao hakuna umande wala manyunyu au jua kali, bali muda mzuri ni kuanzia saa tatu hadi saa tano asubuhi na saa kumi na moja jion.

Matangazo

  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YASISITIZA USAWA

    March 08, 2023
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YASISITIZA USAWA

    March 08, 2023
  • MKUU WA WILAYA AZINDUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA KADASHI

    March 04, 2023
  • MKUU WA WILAYA AZINDUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA KADASHI

    March 04, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.