• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

ELIMU YA UKATILI YATOLEWA KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

Posted on: June 16th, 2022

Katika kuadhimisha  ya siku ya mtoto wa Afrika leo tarehe 16,Juni 2022  Elimu ya ukatili na unyanyasaji imetolewa kwa wanafunzi na wazazi katika Shule ya Msingi Mwañg'alanga.Mgeni rasmi Mwalumu Evarist Kawa amewataka wazazi na wanafunzi kuhakikisha wanapinga ukati kwa watoto na kutoa taarifa pindi waonapo dalili za ukatili kwa mtu yeyote.Mwalimu Kawa amesema tuupinge ukati kama kauli mbiu yetu inavyosema "Tuimarishe ulinzi wa mtoto,tokomeza ukatulia dhidi yake,jiandae kuhesabiwa"

Kawa amesisitiza swala la ukatili litokomezwe katika jamii  " hii tabia ya kuwepo na matukio ya ukatili naomba ikome, watoto kutokupata haki zao za msingi ni moja ya ukatili,watoto hawapelekwi shule kupata Elimu na badala yake wanabaki majumbani kufanya kazi na wengine kwenda kuchunga mifugo, mzazi atakaye  bainika kufanya vitendo vya ukatili kwa  mtoto atachukuliwa sheria" 

Aidha mgeni rasmi  amewakumbusha wanafunzi pamoja na wazazi swala la utatuzi wa changamoto za miundombinu ya shule kuwa Serikali inatambua  hivyo inaendelea kutekeleza ujenzi wa miyndombinu mbalimbali ili kuboresha idara ya Elimu. " ujenzi wa madarasa, miundombinu ya vyoo, ofisi za Walimu na miundombinu ya kunawia vinaendelea kutekelezwa kwahiyo watoto waende shule ili watumie miundombinu hiyo" amesema Kawa

Naye Mkuu wa dawati la jinsi Wilaya ya Kwimba Bi Nyasato Makongoro akatoa Elimu juu ya ukatili wa kijinsia" ukatili wa kijinsia ni hali ya kunyimwa haki yako ya msingi mfano kukatazwa kwenda shule,mtoto ukiona hupati haki yako ya msingi njoo utoe taarifa sisi Kama dawati  la kijinsia tupo tutakusaidia usikubali kupoteza haki yako, na mtambue Sheria zipo zinazowalinda nyie kwahiyo na nyie mtoe taarifa muonapo hampati haki"


Sherehe hii imemalizika kwa kutoa zawadi kwa makundi matatu ambayo ni zawadi kwa mama mjamzito aliyehudhulia kilinki vizuri, zawadi kwa mtoto aliyehudhuria kilinki  vizuri pamoja na kutoa msaada wa madaftari kwa wanafunzi wenye mazingira magumu na uhitaji maalumu,na ikumbukwe kuwa sherehe ya siku wa mtoto wa Afrika Tanzania huadhimishwa kitaifa kila baada ya miaka mitano. 


Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.