• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

ELIMU YATOLEWA KUHUSU UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA MATUMIZI YA NISHATI MBADALA

Posted on: June 3rd, 2021

Katika kuelekea kilele cha siku ya Mazingira ambayo Kidunia na Kitaifa inaadhimishwa tarehe 05 Juni,2021 Maafisa Mazingira wakishirikiana na wahandisi wa Wakala wa maji vijijini ( RUWASA) wametoa Elimu ya utunzaji wa Mazingira,matumizi ya nishati mbadala na uhifadhi wa vyanzo vya maji kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari.

Maafisa hao wa Mazingira wamewaasa wanafunzi na Walimu wao kuwa mabalozi kwa wazazi wao na wananchi wote, wamewataka kwenda kuhamasisha matumizi ya  nishati mbadala ili kutunza na kuhifadhi Mazingira kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Aidha Maafisa hao wamesisitiza upandaji wa Miti,kuacha Mita 60 kutoka vyanzo vya maji ( kutofanya shughuli za kilimo karibu na vyanzo vya maji), kufanya usafi wa Mazingira na kutumia nishati ya gesi,umeme au mkaa unaotokana na takataka, wamewataka wanafunzi hao kuona uchungu wanapoona Miti ikikatwa kwaajili ya kuni na Mkaa.


Baadhi ya wanafunzi wameonekana kuwa mabalozi wa Mazingira kwani wamepanda Miti na wanaihudumia ili iweze kukua na kufanya Mazingira ya Shule kuwa na mandhari nzuri kwaajili ya kujisomea.


Siku ya Mazingira ina kaulimbiu isemayo " Tutumie nishati mbadala kuongoa mfumo ikolojia"  hivyo Wananchi wote mnashauriwa kutumia nishati mbadala kama gesi na umeme katika matumizi ya nyumbani ili kupunguza uharibifu wa Mazingira.




Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.