• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

HAFLA YA KUAPISHWA WAHESHIMIWA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA.

Posted on: December 2nd, 2020

Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wameapishwa leo tarehe 02/12/2020, Hafla hii imefanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba.Katika Hafla hii Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Senyi Simon Ngaga amewapongeza waheshimiwa Madiwani kwa nafasi waliyoipata ya kuteuliwa na kuchaguliwa pia Mkuu wa Wilaya amewashauri kufanya kazi ili kuchochea maendeleo ya Wilaya hii.

MKUU WA WILAYA YA KWIMBA MHE.SENYI S.NGAGA

Picha ya pamoja ya Madiwani na Viongozi wa Wilaya ya Kwimba

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bib. Pendo Malabeja.


Vilevile Ndug.Ally Nyakia Katibu Tawala wa Wilaya ya Kwimba amewapongeza waheshimiwa Madiwani kwa kuchaguliwa pia akasisitiza uadilifu katika kazi,uwajibikaji na kusimamia upatikanaji wa mapato ya ndani na matumizi ya mapato.

 Ndug.Ally Nyakia Katibu Tawala wa Wilaya ya Kwimba.


Katika Hafla hiyo ya uapisho jumla ya Madiwani 40, (30 wakiwa wa kuchaguliwa na 10 wakuteuliwa) wameapishwa na wamefanya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri na Makamu Mwenyekiti ambapo Mhe.Thereza Jackson Lusangija Diwani wa kata ya Ngudu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri na Mhe.Lucy Cyprian Nchangwe Diwani vitimaalumu  amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti.

Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Thereza Jackson Lusangija( aliyesimama).


Mhe. Thereza Lusangija  baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri amewashukuru Madiwani wote waliomchagua na ameomba ushirikiano na amesisitiza kila Mtu afanye kazi katika nafasi yake,aidha Mwenyekiti wa Halmashauri ameahidi kufanya kazi zitakazochagiza maendeleo ili kuonekane tofauti na uongozi uliopita, pia amesema Halmashauri hii tangu ianzishwe haijawahi kuwa na Mwenyekiti Mwanamke hivyo nafasi aliyoipata ataitumia kufanya kazi za kimaendeleo kwa faida ya wananchi na Taifa kwa ujumla.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.