• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

HALMASHAURI YAKABIDHI PIKIPIKI TATU KWA WATENDAJI

Posted on: August 7th, 2023


Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imekabidhi  pikipiki tatu kwa Watendaji wa Kata. Pikipiki hizo zimenunuliwa na Halmashauri kwa milioni 10,200,000  fedha za mapato ya ndani zikilenga kuongeza ukusanyaji wa mapato na kuwarahisishia kazi Watendaji.


Akikabidhi pikipiki hizo Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija ameipongeza Halmashauri kwa kuona umuhimu wa kuwanunulia usafiri Watendaji wa Kata , pia amewataka Watendaji waliokabidhiwa vyombo hivyo kwenda kuvitumia vizuri na vikawe Chachu katika kuongeza makusanyo


" Katumieni pikipiki hizi kwenda kufanya kazi zilizokusudiwa na tunatarajia mapato yataongeza katika Kata zenu maana mmerahisishiwa kazi, pia mzitunze vizuri siyo unampa mtu yeyote kuendesha hiyo ni mali ya Serikali lazima itunzwe vizuri" Ludigija


Akiwasilisha taarifa ya ununuzi wa vyombo hivyo Bi. Happiness Msanga Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba amesema Halmashauri imenunua pikipiki hizo tatu kwa milioni 10,200,000  bajeti ya mwaka wa fedha uliopita na katika bajeti ijayo Halmashauri inatarajia kununua pikipiki tano lengo likiwa kurahisisha kazi za Watendaji na kuchagiza ukusanyaji wa mapato.


Makabidhiano hayo yamefanyika baada ya tathimini ya kikao cha lishe  ambapo Mkuu wa Wilaya amewataka Watendaji wote kuhakikisha Kila Kijiji kinaadhimisha siku ya lishe ya Kijiji


" hatuwezi kuboresha lishe za watoto na wanawake wajawazito kama hatutazingatia haya maadhimisho ya siku ya lishe maana kupitia hiyo siku watu wanapata nafasi ya kujifunza namna ya kuandaa vyakula kwa kuzingatia mlo kamili na maelekezo ya lishe kwa watoto" Ludigija

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.