• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

HATIMAE WAKULIMA WA PAMBA WAPATIWA FEDHA ZAO.

Posted on: August 19th, 2020

Mkuu Wa Wilaya ya Kwimba Mhe Senyi S.Ngaga amewakabidhi wakulima wa pamba Wa chama cha msingi  (AMCOS) shilembo kiasi cha milioni tano  Fedha iliyookolewa na  TAKUKURU kutoka Kwa Jamada A.Juma Afisa Masoko Wa kampuni ya AFRISIAN na  Julius Masule karani wa  AMCOS ya Shilembo,ambao kwa  pamoja walikubaliana kuchepusha kiasi cha milioni tisa Fedha za wakulima wa pamba wa ushirika  huo.

Akikabidhi Fedha hizo kwa  wakulima Mkuu Wa Wilaya amesema Fedha hiyo itatolewa kwa awamu mbili kutokana na  jinsi zinavyorudishwa hivyo zilizotolewa leo tarehe 19/08/2020 ni awamu ya kwanza,DC amesema Afisa huyo wa kampuni alifanya utapeli kwa kumsainisha karani wa AMCOS kupokea fedha kisha akaondoka na fedha hizo hivyo TAKUKURU wamefanya kazi kubwa ya kufanikisha urejeshwaji wa fedha hizo.Mkuu wa Wilaya amewaomba wakulima kuendelea na  Kilimo na  kuwa na imani kuwa fedha zote wanazodai zitalipwa hivyo wasikate tamaa ya kulima pamba.Aidha Mhe.Ngaga amewataka TAKUKURU kushugulikia AMCOS zote zinazodaiwa na wakulima ili zilipe madeni hayo kufikia tarehe 30/09/2020.

Pia DC ameshauri wataalamu wa ushirika kutoa elimu kwa viongozi wa AMCOS ili waweze kujisimamia na  kusimamia fedha Kwa weledi unaotakiwa.


Akitoa taarifa fupi Ndugu Julian Augustine Kamanda Wa TAKUKURU (W) amesema hatua iliyochukuliwa ya kuokoa fedha hizo ni mwendelezo wa utaratibu uliowekwa na serikali wa kuhakikisha kuwa watuhumiwa wa  makosa ya rushwa hawanufaiki na mazao ya rushwa na  wanachukuliwa hatua za kisheria.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.