• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

HUDUMA ZA AFYA ZAENDELEA KUBORESHWA

Posted on: August 10th, 2022

Sekta ya Afya Wilayani Kwimba katika kuhakikisha huduma za Afya zinaboreshwa  hasa huduma za mama na mtoto, mafunzo mbalimbali kwa wahudumu wa Afya ngazi ya jamii (CHW) yameendelea kutolewa yakiwemo mafunzo kwa mfumo wa LEAP.

LEAP ni mfumo unaomuwezesha muhudumu wa Afya ngazi ya jamii kujifunza na kufanya mitihani ya masomo mbalimbali yahusuyo Afya. Mfumo huu wa LEAP umeanzishwa na Shirika la Amref ili kurahisisha utoaji wa mafunzo kwa wahudumu wa Afya ngazi ya jamii.

“ mfumo huu unamuwezesha muhudumu wa Afya ngazi ya jamii kujifunza kwa kutumia simu yoyote kinachotakiwa tu eneo hilo liwe na mtandao wa kuwezesha  kupiga simu na kutuma ujumbe, mfumo huu ni rahisi na umewetuwezesha kutoa mafunzo tukiwa mbali na wahudumu” alisema Gasper Gaitano Afisa TEHAMA kutoka Amref.

Aidha Afisa huyo anasema mfumo hauhitaji mtumiaji awe na elimu kubwa sana ndipi aweze kuutumia bali muhufumu anatakiwa ajue kusoma na kuandika tu.

Wakikagua matumizi ya mfumo huo kwa wahudumu wa Afya ngazi ya jamii maafisa TEHAMA kutoka TAMISEMI wameshauri pamoja na wahudumu kujifunza kupitia mfumo uwekwe mwongozo wa mafunzo hayo kwa wasimamizi wa vituo vya Afya utakaowawezesha kutatua changamoto pale zinapotokea kwa wahudumu wa Afya zinazohusiana na huduma wanazotoa kwa Wananchi.

Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii wameendelea kupata mafunzo mbalimbali yakiwemo mafunzo yanayolenga Ustawi wa Mwanamke ikiwa nipamoja na kuboresha huduma za uzazi,elimu ya kupunguza au kuzuia vifo vya mama na mtoto,kutokomeza ukatili kwa watoto na huduma nyingine za kiafya.





Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.