• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

ICAP YAKABIDHI VIFAA VYA SOLA VYA KUWASHA UMEME ZAHANATI 16

Posted on: September 23rd, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Msanga akipokea vifaa vya kuwashia umeme wa jua ( Sola)  kutoka kwa wadau wa Afya Shirika la ICAP  ambao wametoa Sola za kuwasha umeme kwenye vituo  vya Afya na Zahanati 16.


Vifaa hivyo vimepokelewa leo tarehe 23, Septemba 2023 kwenye Hospitali ya Wilaya.Akipokea vifaa hivyo Mkurugenzi amelishukuru shirika la iCAP kwa vifaa hivyo ambavyo vitasaidia vituo vya Afya kufanya kazi vizuri


" tunalishukuru sana shirika la iCAP kwa kutuletea vifaa hivi vitasaidia kupatikana kwa umeme ambao utarahisisha upatikanaji wa huduma maana sasa hivi vituo vya Afya vinatumia mifumo ambayo inahitaji umeme kwa hiyo vifaa hivi vitasaidia sana upatikanaji wa huduma kwa uhakika" Msanga


Akikabidhi vifaa hivyo Dr.Emmanuel Mkonye kutoka iCAP amesema Shirika linaendelea kushirikiana na Serikali kuhakikisha huduma za Afya zinaboreshwa hivyo wamekabidhi vifaa hivyo Ili visaidie kupatikana kwa umeme Ili mifumo ya kutunza takwimu za wagonjwa na kuhakikisha huduma za Afya zinapatikana kwa uhakika.


Bi. Happiness amewataka Madakitari na wahudumu wa Afya watakao tumia vifaa hivyo kwenda kuvitumia vizuri na kuvitunza ili vilete tija iliyokusudiwa.


Vifaa vilivyokabidhiwa vinauwezo wa kuwasha umeme masaa 24 hivyo hakutakuwa na kipingamizi au kuzuizi cha wagonjwa kuhudumiwa kwa wakati kwenye vituo vya Afya.


Aidha Mkurugenzi ameliomba shirika hilo kutoishia hapo bali waone umuhimu wa kuleta Sola nyingine kwaajili ya Hospitali ya Wilaya ili kusaidia kupatikana kwa huduma kwa wakati pindi umeme unapokatika.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.