• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

Jeshi la Akiba Kupewa Kipaumbele Fursa za Kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

Posted on: August 14th, 2017

 Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Mhandisi Msafiri Mtemi Simeoni  amewahakikishia wahitimu wa Jeshi la Akiba (Mgambo) kupewa kipaumbele pindi nafasi za kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa  (JKT) zitakapotangazwa.

“Nafasi za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) zitakapotangazwa nitahakikisha wahitimu wote wa Jeshi la Akiba wenye sifa  wanapewa kipaumbele kujiunga na Jeshi hilo” 

Mhandisi Msafiri aliyasema hayo wakati wa ufungaji mafunzo ya awali ya Jeshi la Akiba yaliyofanyika tarehe 12/08/2017 katika kituo cha Ilula tarafa ya Nyamilama wilayani Kwimba




Mkuu wa wilaya ya Kwimba Mhandisi Mtemi Msafiri Simeoni akiongea na wahitimu wa Jeshi la Akiba (Mgambo) wakati wa ufungaji mafunzo ya awali

Muhitimu wa mafunzo hayo Bi Leah Benson alisema Katika mafunzo hayo wamejifunza masomo ya aina mbalimbali kama:-Uzalendo na utiifu, mbinu za kivita,utimamu wa mwili,ujanja wa porini,utambuzi, huduma ya kwanza na silaha ndogondogo.

Aliendelea kusema kuwa mafunzo hayo yamewafanya wawe na utayari wakati wowote pindi wanapohitajika kutekeleza jukumu lolote la kitafa




Muhitimu wa mafunzo Bi Leah Benson akisoma risala kwa mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Kwimba Mhandisi Mtemi Msafili Simeoni wakati wa ufungaji mafunzo ya awali ya Jeshi la Akiba (Mgambo)


Naye Diwani wa kata ya  Ilula Mhe. Amosy Kyuga alimuomba Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kwimba ambaye aliwakilishwa na Afisa Utumishi Mkuu  Bibi Christina Bunini kuwasaidia wahitimu wa Jeshi  hilo kupata vitambulisho vya Bima ya Afya ili viweze kuwasaidia kupata matibabu.

Aidha Bibi Christina Bunini kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba aliwaomba wahitimu hao kuwa na  moyo wa uzalendo ili kuleta maendeleo  katika wilaya ya Kwimba na Taifa kwa ujumla.

Kwa kuhitimisha sherehe  hizo Afisa Tarafa ya Nyamilama Ndg.Joseph Mwikwabe aliwaambia wahitimu mafunzo kuwa mafunzo waliyoyapata wayatekeleze kwa vitendo ili wananchi wetu waishi salama na kulindwa salama.

Mafunzo ya Jeshi la Akiba  yalianza rasmi tarehe 15/07/2016 yakiwa na idadi ya wanafunzi 115 wavulana 135 na wasichana 20. Mpaka tarehe 11/08/2017 jumla ya wahitimu waliofanikiwa kumaliza mafunzo hayo kwa  hatua ya kwanza katika kituo cha Ilula ambapo  60 walikuwa wavulana 53 na wasichana 07.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.