• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

KAMATI YA USALAMA YA WILAYA YAPATA MAFUNZO YA MFUMO WA MANUNUŹI NEST

Posted on: July 9th, 2024


Kamati ya usalama ya Wilaya ya Kwimba  ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya  Kwimba  Mhe  Ng'wilabuzu N. Ludigija  wamepata mafunzo ya mfumo wa manunuzi ( Nest)


Akifungua mafunzo hayo Mhe. Ludigija  amezitaka taasisi zote zilizopo Wilayani hapo kufanya taratibu za manunuzi kwa kutumia mfumo huo ili kuepuka changamoto na lawama kutoka kwa wafanya biashara


" mfumo huu ni mzuri kwa sababu haumkutanishi mfanya biashara na taasisi hii inaondoa lawama ya kusema kuna wazabuni wanapendelewa kwani wote wanaomba kwenye mfumo na mfumo ndio unachagua mzabuni"amesema  Ludigija


Akitoa mafunzo hayo Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Msanga  amesema Kwimba ndiyo kinara  wa matumizi ya mfumo wa Nest  kwani inaongoza Nchi nzima, amesisitiza kuwa Halmashauri  itaendelea kutumia mfumo huo kwani tangu kuanzishwa kwa mfumo huo Halmashauri  imepata faida nyingi ikiwa ni pamoja na kupunguza ghalama za manunuzi ya vyakula vya wanafunzi shuleni


" kabla ya mfumo chakula cha wanafunzi shule ya Sekondari  Mwamashimba kilikuwa kinanunuliwa kwa zaidi ya milioni 25 lakini baada ya mfumo chakula kinanunuliwa kwa milioni 16" amesema  Msanga 


Katika mafunzo hayo walikuwepo  wawezeshaji wengine Deogratias Tulinawe Mkuu wa Kitengo cha manunuzi ambaye amewafundisha kuhusu sheria mpya ya manunuzi ya umma  inayozitaka taasisi zote kutumia  mfumo huo na  Esta Afisa Elimu Maalum Sekondari ambaye amefundisha namna mfumo unavyofanya kazi, kuandaa mpango wa manunuzi na  kutangaza zabuni.


" haya mafunzo ni mazuri na yatatusaidia kusimamia taratibu za manunuzi kwa kuzingatia mfumo wa Nest" amesema  Julian Augustin Kamanda wa TAKUKURU Wilaya ya Kwimba.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.