• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

KAULI ZA PONGEZI ZATOLEWA NA VIONGOZI WAKATI WA MAKABIDHIANO KATI YA MKURUGENZI MSTAAFU NA MKURUGENZI ANAYEKABIDHIWA

Posted on: April 8th, 2021

Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba akiwemo Mwenyekiti wa Halmashauri,Katibu Tawala wa Wilaya na Wakuu wa Idara na Vitengo wametoa kauli  za pongezi na ahadi ya kufanyia kazi kile walichojifunza kutoka kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kwimba. Haya yamejitokeza kwenya hafla fupi ya makabidhiano ya Mkurugenzi mstaafu Bib:Pendo Anangsye Malabeja na Kaimu Mkurugenzi Ndugu Stamili A.Ndaro iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Kwimba.

Akiongea katika hafla hiyo Bib:Pendo Malabeja ametoa maneno ya nasaha kabla ya kukabidhi "fanyeni kazi kwa bidii,tekelezeni maelekezo ya Serikali,simamieni ukusanyaji wa mapato,pendaneni,endeleeni kushirikiano na fanyeni kazi kwa kufuata miongozo ya Serikali na wapendeni na kuwaelimisha wananchi kuhusu mambo muhimu yanayojitokeza katika jamii" amesema Malabeja

Naye Katibu Tawala wa Wilaya Ndug.Nyakia Ally   akawa na haya ya kusema"Mkurugenzi ulikuwa tunu kwetu, ulikuwa mlezi,Mzazi kuondoka kwako ni maumivu kwetu lakini ulichoweka kwetu ni tunu" Aidha Katibu Tawala amempongeza Mkurugenzi kwa kufikia hatua ya kustaafu na amewataka viongozi wanaoendelea na utumishi wa Umma kufanyia kazi yale yote waliyojifunza kutoka kwa Mkurugenzi huyo kwani yeye alikuwa Mwadilifu,mvumilivu,alifanya kazi kwa mujibu wa sheria,alidumisha mahusiano mazuri na watumishi na Wananchi wote. 

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Mhe.Theleza Lusangija amesema  anamshukuru Mkurugenzi Mtendaji  kwa malezii aliyowapatia na amewafundisha kazi Vilevile  amewaomba  Wakuu wa Idara na Vitengo kuendeleza ushirikiano aliokuwa akiuonyesha Mkurugenzi Mtendaji  kwa Waheshimiwa Madiwani na Wananchi.


Aidha Afisa maendeleo ya jami kwa niaba ya wakuu wa Idara na Vitengo Bi.Rosalia Magoti amemshukuru Mkurugenzi kwa malezi na mafunzo waliyoyapata kutoka kwake na ameahidi kuyafanyia kazi yale yote  waliyojifunza kutokana na uongozi wake.


Mkurugenzi huyo amestaafu utumishi wa Umma baada ya kuwa ameitumikia Serikali katika maeneo mengi ikiwemo na Kwimba ambapo amefanyakazi kama Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba kw miaka tisa.


Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.