• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

Sherehe ya Kusaini Mikataba ya Matengenezo ya Barabara na Ukarabati wa Majengo

Posted on: March 1st, 2017

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kwimba Mh. Peter Lucas Ngassa ameongoza sherehe ya kusaini mikataba ya miradi ya matengenezo ya barabara pamoja na ukarabati wa miundombinu katika hospitali ya Ngudu kwa mwaka wa fedha 2016/2017 itakayogharimu  kiasi cha Tsh.807,933,260 Tarehe 28/02/2017.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo  Bibi Pendo  Anangisye Malabeja amesema Wakandarasi wazingatie kanuni, sheria, taratibu na uadilifu mkubwa wakati wa kutekeleza shughuli zao pia kutojihusisha na vitendo vya rushwa. Maana kufanya hivyo miradi haitatekelezwa kwa viwango tunavyotarajia hivyo kusababisha kukosekana kwa thamani halisi ya fedha katika mradi (Value for Money).  Pia amesisitza kuwa Kwimba lazima iwe mfano wa kuigwa kwa kutojihusisha na maswala ya utoaji na upokeaji wa  rushwa (Free zone corruption)

Pamoja na hayo Mh. Peter Lucas Ngassa amesisitiza suala la ubora na ufanisi wa kazi.

“Hakikisheni kazi mtakazozifanya  zikidhi malengo na matarajio ya serikali na wananchi ili kuleta tija kulingana na pesa iliyolipwa kwa kufanya hivyo mtakuwa mnajenga picha nzuri ya makampuni yenu na mtakuwa msaada kwa serikali yetu inayoimiza uchapakazi wenye viwango”

 Vivyo hivyo amesisitiza wakandarasi washirikiane na kujenga mahusiano mazuri  na viongozi  mbalimbali ngazi ya vijiji na kata ambapo utekelezaji wa miradi hiyo unafanyika ili kuijengea jamii umiliki wa miradi hiyo.

 Pia amewaomba wakandarasi hao  wamalize kazi zao kwa muda waliopewa kwenye mkataba na malipo yatafanyika baada ya wakaguzi kujiridhisha na kazi na yatafanyika haraka iwezekanavyo.

Wakandarasi waliohusika katika kikao hicho cha kusaini mikataba ni;

  • M/S Nice Construction & General Supplies wa S.L.P 594 Mwanza.
  • M/S Athu Building & Civil Work LTD wa S.L.P 61450 Dar es salaam.
  • M/S Hemed Holding CO LTD wa S.L.P  193 Shinyanga.
  • M/S Itegamatu CO LTD wa S.L.P 711 Shinyanga.
  • M/S Afrihost Investment LTD wa S.L.P 11958 Mwanza.
  • M/S Samka Constractors CO LTD wa S.L.P 10353 Mwanza.
  • M/S Valosu Company LTD wa S.L.P 1558 Mwanza .
  • M/S Ntangwa Enterprises wa S.L.P 1359 Shinyanga.
  • M/S Mark and General Agencies wa S.L.P 64601 Mwanza.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.