• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

KWIMBA YAADHIMISHA MIAKA 61 YA MUUNGANO KWA KUOANDA MITI

Posted on: April 26th, 2025


Wilaya ya Kwimba imeadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kupanda miti 1010 katika maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na eneo  la Icheja  linakojengwa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba.


Awali kabla ya kupanda miti wananchi wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Ng'wilabuzu Ludigija  wamefanya mazoezi ya viungo katika uwanja ya Kwideco na kisha wamekimbia umbali wa kilomita 4 kuelekea eneo la kupanda miti.


Akiongea na wananchi baada ya mazoezi hayo Mkuu wa Wilaya amewataka Wananchi kuuenzi Muungano kwa kufanya kazi kwa bidii ili kujenga uchumi wa Taifa,pia amewasisitiza watenge muda wa kufanya mazoezi ili kujenga afya bora.


Aidha Mheshimiwa  Ludigija  amewataka Wananchi kuendelea kutunza mazingira kwa kupanda miti ili kujiepusha na athari za mabadiriko ya tabia ya nchi.


Katika maadhimisho hayo ameshiriki Katibu Tawala Wilaya ya Kwimba Ndug. Mohamed Ngasinda ambaye amewasisitiza watumishi wote kufanya kazi kwa umoja na ushirikiano huku wakizingatia umoja ulioanzishwa na Waasisi wa Taifa hili.


Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Dkt. Amon Mkoga amewasisitiza watumishi kutenga muda wa kufanya mazoezi ili kuimarisha afya zao na kujikinga na magonjwa nyemelezi.


Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  imetimiza miaka 61 tangu kuungana kwa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, kauli mbiu ya mwaka huu inasisitiza wananchi kuendelea kuuenzi Muungano na kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 " Muungano wetu ni dhamana,heshima na tunu ya Taifa,shiriki uchaguzi mkuu mwaka 2025"

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI

    May 18, 2025
  • WAUGUZI WATAKIWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA

    May 12, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEIMOSI YAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

    May 01, 2025
  • MKURUGENZI AWATAKA WATUMISHI WOTE KUFANYA KAZI KWA UPENDO NA UADILIFU

    April 28, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.