• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

KWIMBA YAADHIMISHA MIAKA 61 YA UHURU KWA KUSHIRIKI USAFI, MAZOEZI NA MDAHALO

Posted on: December 9th, 2022

Katika kuadhimisha siku ya Uhuru Tanzania bara, Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imefanya matukio matatu tofauti leo tarehe  9,Disemba 2022. Matukio hayo ni kufanya mazoezi kwaajili ya kuimarisha Afya za Wananchi ambapo wananchi wamejumuika kwa pamoja kukimbia mchakamchaka  kutoka eneo la Uwanja wa Kwideko hadi Ujenzi kisha wakarudi stendi ya zamani.


Baada ya mazoezi hayo wananchi  wameadhimisha  siku ya  Uhuru kwa kufanya usafi katika maeneo ya stendi ya zamani na maeneo ya sokoni. Ambapo wananchi wameshirikiana na watumishi wa umma kufanya usafi katika maeneo hayo.


Katika kujikumbusha hali ilivyokuwa kabla ya uhuru na baada ya Uhuru, umefanyika mdahalo mkubwa katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba ambapo mada mbalimbali zimejadiliwa  ikiwa ni pamoja  na upatikanaji wa maji, umeme, huduma  za Afya, Elimu, utunzaji wa mazingira, uchumi na Usalama wa raia na mali zao.


Akihitimisha  Mdahalo huo ndugu Nyakia Ally Katibu Tawala wa Wilaya ya Kwimba ameeleza maendeleo tuliyofikia baada ya kupata uhuru

“ tumepiga hatua kubwa sana ya maendeleo baada ya kupata uhuru maana sasa hivi umeme umeenea sehemu nyingi, maji yanapatikana katika maeneo mengi, Elimu inatolewa bila ubaguzi ukilinganisha na kabla ya uhuru, huduma za Afya zinapatikana kuanzia ngazi ya vijiji kwa hiyo tunapaswa kuishukuru Serikali kwani imefanya mambo makubwa baada ya  kupata Uhuru”


Katika mdahalo huo wameshiriki wazee ambao baadhi yao walishiriki harakati za kupata uhuru nao  wameelezea hali ilivyokuwa kabla ya kupata Uhuru.


 ” Hali haikuwa nzuri kulikuwa na ubaguzi mkubwa hasa ubaguzi wa rangi mfano siku moja alipita mtoto wa mzungu( mkoloni)  akawaamurisha askari watukamate tena anasema kamata hao nyani weusi” amesema mzee Ngobese


Tanganyika ilipata Uhuru tarehe 9,Disemba 1961 chini ya uongozi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Rais wa kwanza  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.