• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

KWIMBA YAADHIMISHA MUUNGANO KWA KUPANDA MITI

Posted on: April 26th, 2023


Mkoa wa Mwanza umeadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na  Zanzibar kwa kupanda miti na kuzindua mradi wa maji.Akiongoza sherehe hizo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam Ally Kighoma Malima amewataka Wananchi wote kuuenzi na kuutunza Muungano kwani ndio ulioifikisha Tanzania hapa ilipo.


Maadhimisho hayo kimkoa yamefanyika Wilayani Kwimba ambapo shughuli za kupanda miti katika eneo la chuo cha VETA imefanyika na wananchi wametakiwa kuitunza miti hiyo Ili kutunza mazingira na vyanzo vya maji


"hili jambo ni lazima tulifanye tena ni kwa lazima siyo hiari hii nchi ni yetu na kupanda miti nisehemu ya kuinusuru Tanzania na majanga  kwahiyo Mwanza tunatakiwa tupande miti millioni 23, katika hili lazima tuwe mfano na siyo kupanda tu ila nikupanda na kutunza" amesema Malima


Mkuu huyo amewataka Wananchi kuendelea kuuenzi Muungano kwa kuhakikisha usalama unaimarika "nchi hii imekuwa ya mfano wa kuigwa kuhusu Muungano maana wengine walijaribu lakini hawakuweza sisi leo miaka 59 tuuenzi Muungano kwa kufanya mambo yanayoleta faida kwa Taifa" Malima


Mheshimiwa Malima amekemea tabia ya baadhi ya wafugaji wanaoharibu miti iliyopandwa makusudi " tunataka tutumie siku ya leo kuelimisha watu umujimu wa kupanda miti, mifugo itakayokamatwa inachungwa kwenye miti faini yake huyo mwenye ng'ombe auze mifugo anunue miti arudishie iliyoliwa yote, lazima watu wajue kuwa kuna eneo la misitu, eneo la kilimo na eneo la kuchungia, wanaofanya uhalibifu wa makusudi msiwaache" Malima


Naye Bakar Mohamed kamanda wa uhifadhi wa misitu Kanda ya ziwa amewashauri Wananchi kuachana na tabia ya kukata miti ovyo,na kulinda miti inayopandwa Ili ikue na isaidie kuleta hewa safi na mazingira bora


Katika maadhimisho hayo mradi wa maji wa millioni 998 umezinduliwa katika Kijiji cha Malenve ambapo tangi la ujazo wa Lita 250,000 limejengwa Kijiji cha ghatuli na vituo vya maji sita vimejengwa, maji yameshawafikia wananchi. Kukamilika kwa mradi huo kumewawezesha Wananchi kutotembea umbali mrefu kufuata maji.


Aidha Mkuu wa Mkoa ametumia maadhimisho hayo kuwashauri wananchi kuhakikisha wanawapeleka watoto wao kupata chanjo Ili kuwakinga na magonjwa yanayoweza kuzuilika.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 26, 2023
  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU 2022/23

    May 19, 2023
  • MKUU WA WILAYA YA MBOZI MHE. ESTER MAHAWE AKIAMBATANA NA KAMATI YA FEDHA WAMEFANYA ZIARA WILAYANI KWIMBA

    May 16, 2023
  • DC LUDIGIJA AZINDUA ZAHANATI YA NYAMATALA NA KUFUNGUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA ISUNGA

    May 08, 2023
  • DC LUDIGIJA AZINDUA ZAHANATI YA NYAMATALA NA KUFUNGUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA ISUNGA

    May 08, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.