• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

KWIMBA YAFANYA TAMASHA KUHAMASISHA SENSA

Posted on: August 20th, 2022

Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba katika kuhakikisha zoezi la sensa lifanyika kama ilivyokusudiwa  leo tarehe 20/08/2022 wamefanya tamasha kubwa la kuhamasisha wakazi wa wilaya ya kwimba kushiriki katika zoezi la sensa litakalofanyika tarehe 23/08/2022 tamasha hilo limefanyika katika viwanja vya kwideko vilivyopo ngudu mjini.


 Tamasha hilo limesindikizwa na burudani mbali mbali kama vile mpira wa miguu, riadha kwa wazee wa umri wa miaka  50 na kueandelea na wasanii wa ngoma za asili wakitumbuiza katika tamasha hilo huku mgeni rasmi akiwa ni Mkuu wa Wilaya Mhe: Johari Samizi.


Aidha Mkuu wa Wilaya  Mhe Johari Samizi amewaasa wakazi wa vitongoji na vijiji vilivyopo katika Wilaya ya  Kwimba kushiriki kikamilifu katika zoezi la sensa kwani litasaidia kujua idadi ya watu na makazi kitu kitakachosaidia Serikali kutoa huduma sahihi za kijamii kwa watu sahihi na kwa wakati sahihi na kwa ubora kitu kitakachopelekea chachu ya maendeleo ya kila mmoja  na taifa kwa ujumla. Huku kauli mbiu yake ikiwa ni “Tujiandae kuhesabiwa kwa maendeleo ya Taifa letu”


Aidha viongozi mbalimbali wameshiriki katika tamasha hilo na kutoa elimu na semina kwa watu mbali mbali waliofika katika tamasha hilo na kuwafudisha faida za sensa, pia wametoa hamasa kubwa kwa wakazi mbali mbali na kuwaasa wananchi kushiriki kikamilifu na kwa uaminifu na kutoa taarifa zilizo sahihi siku ya sensa.


Aidha wakazi wa Wilaya ya Kwimba wameahidi makubwa katika zoezi la sensa kwani wanasema wapo tayari kuhesabiwa na watashiriki kikamilifu katika zoezi hilo ili kuhuhakikisha wanapata maendeleo kwa wakati sahihi katika taifa lao kwa ujumla.

" tunashukuru tamasha hili limetukumbusha umuhimu wa Sensa na tumejua umuhimu wa kuhesabiwa sasa tutakuwa mabalozi kwa wengine, tutahamasishana ili kila mtu awe tayari kuhesabiwa" amesema Makoye Jumanne



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.