• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

KWIMBA YAONGOZA UFAULU MITIHANI YA UTAMILIFI KATI YA HALMASHAURI 43

Posted on: June 3rd, 2025



Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imekuwa ikifanya vizuri kwa miaka mitatu mfululizo katika matokeo ya mitihani  ya shule za Sekondari.

Awamu hii hari imekuwa tofauti kwani Shule za Msingi nao wameitoa Kwi.ba kimasomaso baada ya kushika namba moja kati ya Halmashauri 43 za Mikoa sita ambapo katika madaraja na asilimia Kwimba imeongoza.

Akikabidhi zawadi kwa Walimu wakuu ambao shule zao zimeingia kumi bora katika mtihani wa utamilifu darasa lasaba Mkuu wa Wilaya Mhe. Ng'wilabuzu Ludigija  amewapongeza walimu wote kwa kuendelea kujitoa kufundisha na kuiletea heshima Kwimba

"nawapongeza sana walimu wote kwa kuwa wakwanza kwenye haya matokeo endeleeni kuiheshimisha Kwimba kwa kufanya vizuri zaidi, pia niwajulishe tu kuwa hili ni deni haya matokeo tunayatarajia kwenye mtihani wa Taifa" amesema Ludigija

Mkuu huyo amewataka Maafisa Elimu Kata kuongoze usimamizi wa Elimu katika kata zao ili kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi unasonga mbele.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Dkt.Amon Mkoga  ametumia wasaa huo kuwapongeza walimu kwa kufanya vizuri katika, pia amewaahidi kuwapatia motisha ya kufanya utalii Zanzibari endapo wataendelea kuongeza ufaulu
" nimefurahishwa na taarifa hizi, kwi.ba nayo ijulikane kwa mambo mazuri kama haya" amesema Mkoga

Akuwasilisha taarifa Afisa Elimu Taaluma  Mwalimu Simbulya amesema " jumla ya Halmashauri 43, shule zaidi ya elfu nne Halmashauri imeshika nafasi ya Kwanza katika vigezo vyote vya asilimia na wastani"

Amesisitiza kuwa Halmashauri imekuwa kinara pia katika ufaulu wa masomo ya Hisabati na Kingereza.Katika hafla hiyo vifaa vya ufundishaji vimetolewa kwaajili ya kuboresha ufundishaji na ujifunzaji

Matangazo

  • MAKALA YA JUNI 2025 July 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • DC LUDIGIJA AHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA SIKU YA UCHAGUZI MKUU 2025

    October 02, 2025
  • KIONGOZI MWENGE WA UHURU AIPONGEZA KWIMBA KUONGEZA WIGO UKUSANYAJI MAPATO

    August 28, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI KWIMBA UKITOKEA MAGU

    August 28, 2025
  • DED MKOGA ASISITIZA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI KUTOFICHWA

    August 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.