• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

KWIMBA YAPOKEA TUZO YA USHINDI WA MATOKEA YA KIDATO CHA SITA 2021

Posted on: April 22nd, 2022


Wilaya ya Kwimba yapata tuzo baada ya kuongoza kimkoa katika matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2021.Tuzo hizo ambazo zilitolewa katika kikao cha wadau wa Elimu kilichofanyika siku ya ijumaa ya tarehe 22/4/2022, zilitolewa na katibu tawala mkoa wa Mwanza  Ndugu Ngusa Samike katika  ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Mwanza 

Kwimba imejipatia tuzo mbili kutoka katika shule mbili ambazo zimeongoza kimkoa ya kwanza ikiwa shule ya sekondari sumve na ya pili ikiwa Shule ya sekondari Mwamashimba, tuzo hizo zimepokelewa na  Mkuu wa Wilaya Mhe Johari Mussa Samizi. 

Katika Kikao hicho ambacho kililenga kueleza na  kutatua changamoto zinazoikumbuka sekta ya Elimu Mkoa wa Mwanza,kilianza kwa kueleza changamoto,ambapo changamoto kubwa ikielezwa ,uhaba wa walimu hasa wa masomo ya sayansi, upungufu wa mabweni kwa baadhi ya Shule, na changamoto nyingine ambapo katibu tawala amewaeleza wadau hao wa Elimu kuwa 

"serikali itatatua changamoto hizo na pia nipende kuwaomba tuendelee kufundisha  kwa kuzingatia taratibu za Wizara ya Elimu ili wanafunzi wetu  wapate Elimu iliyobora na kuongeza ufaulu zaidi ya huu tulioupata 2021"

Naye Afisa Elimu wilaya ya kwimba Mwalimu Emmanuel Katemi anaeleza mipango na mikakati waliyopanga katika kuhakikisha ufaulu unaongezeka zaidi 

"kwanza ni kuhakikisha walimu wanatimiza wajibu wao, pia wanafunzi kujifunza kwa vitendo, lakini pia Walimu kukamilisha mada kwa wakati, swala lingine ni kudhibiti vitendo vya utoro na  kingine ni kuweka vikao vya idara vya masomo ili viimalishe na kujenga uwezo wa somo husika"

Aidha Afisa Elimu Taaluma Wilaya ya Kwimba Mwalimu Silvia Ntigiri anaeleza malengo yao katika kuongeza ufaulu wilayani hapo

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.