• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

KWIMBA YAPONGEZWA KWA KUONGOZA MATOKEO KIDATO CHA SITA MKOA WA MWANZA

Posted on: August 13th, 2024


Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe Ng'wilabuzu Ludigija  amewapongeza viongozi na wasimamizi wa elimu wa Halmashauri ya Kwimba  kwa kupandisha ufaulu kwa kiwango kikubwa.


Pongezi hizo zimetolewa leo Agosti 13,2024 kwenye baraza la Madiwani robo ya nne  ya mwaka wa fedha 2023/24 ambapo taarifa ya matokeo ya kidato cha sita imeonyesha kuwa Shule ya kwanza, ya pili na ya tatu kimkoa zimetoka Wilaya ya Kwimba huku Shule ya Sekondari Tallo ikiwa nafasi ya saba Kitaifa kati ya Shule zaidi ya 929


" kazi iliyofanyika ni kubwa sana niwapongeze viongozi wote kwa usimamizi pia niwapongeze walimu kwa kutimiza wajibu wao, walimu hao waliosababisha kwimba itambulike wapewe motisha ili waendelee kufanya vizuri zaidi" amesema Ludigija


Mheshimiwa  Ludigija  ametumia wasaa huo kuwataka madiwani kwenda kusimamia elimu huku wakisisitizwa kushirikiana na Walimu kuzuia utoro wa wanafunzi ili kuendelaa kupandisha ufaulu.Pia  amewataka waheshimiwa Madiwani kwenda kuhamasisha wananchi  kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura


Naye Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kwimba Ndugu Aziza Isimbula ametumia wasaa huo kuwashauri Madiwani kwenda kufanya mikutano ya kuwaeleza wananchi  miradi inayotekelezwa na Serikali  pia ameipongeza Halmashauri  kwa kuweza kukusanya mapato ya ndani zaidi ya asilimia 100 ya lengo hali iliyopelekea fedha nyingi kutekeleza miradi ya maendeleo.


Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya robo mwaka Bi. Happiness Msanga  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri  ameishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kuendelea kuboresha miundombinu ya Elimu,  hali inayoongeza hamasa ya wanafunzi kupenda masomo na kufanya vizuri kwenye mitihani.


Madiwani walioshiriki Mkutano huo wamempongeza Mkurugenzi  na wataalamu wote wanaosimamia elimu kwa kupandisha ufaulu " shule ni zilezile na walimu niwalewale lakini ni miaka mitatu mfululizo matokeo yanakuwa mazuri sana kwakweli tunampongeza Mkurugenzi  kwa usimamizi mzuri, tuwaombe walimu na wataalamu wote  wasirudi nyuma tena wasonge mbele zaidi matokeo yajayo tuwe wakwanza kitaifa" amesema Mhe. Gervas Kitwala

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.