• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

KWIMBA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

Posted on: June 25th, 2024


Halmashauri  ya Wilaya ya Kwimba  imepongezwa kwa kupata hati safi, pongezi hizo zimetolewa na viongozi walioshiriki Baraza la hoja lililofanyika Leo Juni 25,2024 kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba.


Akiongea katika baraza hilo Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Ndugu Elikana Balandya ameipongeza Halmashauri kwa kuweza kupunguza hoja kutoka hoja 70 hadi kubaki na hoja 11, pia  amewataka Waheshimiwa madiwani kushirikiana na watumishi wa Halmashauri  katika kusimamia utekelezaji wa miradi  ili kuondoa hoja za miradi kutokukamilika


' ni vizuri Madiwani mkishirikiana na watumishi kusimamia utekelezaji wa miradi ili  ikamilike na muondokane na hoja za miradi ambayo haijakamilika'


Aidha  Balandya amezitaka taasisi za umeme na maji kushirikiana na Halmashauri ili  kufikisha huduma hizo kwenye vituo ya Afya ambavyo bado havijaanza kutoa huduma kwa wananchi kutokana na kukosekana kwa maji na umeme.


 Naye  Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe. Johari Samizi akiongea kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kwimba ameipongeza Halmashauri  kwa kupunguza hoja za miradi ambayo haijakamilika na kupata hati safi.


Akiwasilisha taarifa  ya mkaguzi wa hesabu za serikali ndugu Mustapha  amesema kwa hesabu za mwaka 2022/23 Halmashauri  ya Wilaya ya Kwimba  ilipata hati ya kuridhisha na  kwa miaka mitatu  mfululizo kwimba imepata hati safi.


Mkurugenzi wa Halmashauri  hiyo Bi. Happiness Msanga amesema Halmashauri inaendelea kujibu hoja ambapo mwaka 2021 Halmashauri  ilikuwa na hoja 70 zilijibiwa hoja 69 ikabaki moja, mwaka 2021/22 zilikuwa hoja 62 zilifutwa 59 zikabaki tatu na mwaka 2022/23 hoja zilikuwa 28 zilifutwa 21 zikabaki saba na mpaka sasa  Halmashauri ina hoja 11 ambazo  ziko hatua mbalimbali za utekel

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.