• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

KWIMBA YATOA ZAIDI YA MILIONI 200 KWA VIKUNDI VYA VIJANA WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU

Posted on: February 20th, 2023


Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imekabidhi millioni  265 Kwa vikundi 21  vya vijana,wanawake na watu wenye ulemavu.Umekuwa utaratibu wa Halmashauri kutoa asilimia kumi ya mapato ya ndani Kwa vikundi vya ujasiliamari kama mikopo isiyo na riba.


Akiongea  Kabla ya kukabidhi hundi ya millioni  265,206,226.84 Kaimu Mkurugenzi Ndugu Samweli Joshua Mgoli  amewataka watu wote waliokopeshwa mikopo hiyo kwenda kufanya kazi ilivyokusudiwa, vilevile amewataka kuhakikisha wanarejesha fedha hizo Kwa wakati Ili ziweze kutumika  kukopesha vikundi vingine


"hii ni fedha ambayo Ina mashariti kwahiyo ukikopa lazima urejeshe, mambo ya kukamatana siyo mazuri sana rejesheni Kwa hiari yenu msisubiri kukamatwa na kupelekwa mahakamani,ukweli ni kwamba  dawa ya deni ni kulipa kwahiyo jitahidini kurejesha Kwa wakati" amesema Mgoli


Naye Afisa maendeleo ya jamii (W) Bi. Rosalia Magoti akiwasilisha taarifa ya mikopo amesema  Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba kuanzia mwaka 2016 hadi Sasa 2023 imeshatoa  bilioni 1.6 Kwa vikundi 285. Amesisitiza kuwa fedha inayokabidhiwa Leo inatolewankwa Kwa  vikundi 21.


Aidha Mkuu wa Kitengo cha Sheria Ndugu Denis Kabogo amewashauri kurejesha fedha Kwa wakati na kwenda kutumia fedha hizo Kwa malengo yaliyokusudiwa, amesisitiza kuwa Sheria zinazosimamia utoaji wa mikopo zitazingatiwa kwa wote watakaokiuka taratibu za mikopo hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.