• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

LENGO LILILOKUSUDIWA NANENANE KANDA YA ZIWA MAGHARIBI LIMEFANIKIWA RC MTANDA

Posted on: August 8th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameipongeza kamati ya maandalizi ya maonesho ya kilimo na sherehe za wakulima (Nane nane) 2024 kwa maandalizi ambayo yamefanyika katika viwanja vya Nyamhongolo wilayani Ilemela.


Mhe. Mtanda ametoa pongezi hizo leo Agosti 08, 2024 wakati alipokuwa akihutubia wananchi waliojitokeza katika kilele cha sherehe za Nane nane Kanda ya Ziwa Magharibi (Mwanza, Geita na Kagera), Mhe. Mtanda amesema amefanikiwa kupita katika mabanda mbalimbali ya waoneshaji ameona na kujifunza teknolojia mbalimbali hakika lengo lililokusudiwa limefanikiwa.


"Nimefurahi kuona baadhi ya bidhaa na huduma zinazopatikana katika maonesho haya, nimetembelea makampuni, Taasisi, huduma za kifedha za mikopo ya kilimo, Taaisisi za elimu na zile za utafiti mkusanyo wa wadau wote hawa umechangia hamasa kubwa kwa wananchi wetu wa kanda ya ziwa nawapongeza na kuwahukuru sana". Mhe. Mtanda.


Aidha, Mkuu huyo wa Mkoa amesema katika maonesho hayo Wakulima na wananchi kwa ujumla pia wamepata nafasi ya kuona, kujifunza na kubadilishana uzoefu, teknolojia juu ya bidhaa na huduma  mbalimbali na hivyo kupanua wigo wa uelewa kuhusu uzalishaji, uongezaji thamani wa mazao pamoja na mtandao wa masoko ya bidhaa zinazozalishwa.


"Maonesho haya pia yametumika kuonesha mafanikio yaliyofikiwa pamoja na changamoto zinazoikabili sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi ndivyo ambavyo watu wengi wetu tunatarajia kuona mabadiliko makubwa yanayotokea kwenye sekta hizi za kiuchimi". RC Mtanda.


Akuzungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigella ameipongeza pia kamati ya maandalizi ya sherehe hiyo huku akisema amekuwa akihudhuria maonesho hayo kwa kipindi cha miaka miwili lakini sherehe za mwaka huu zimefana sana.


Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba ni miongoni mwa Halmashauri za kanda ya ziwa magharibi zilizoshiriki maonesho hayo huku Kwimba ikiibuka mshindi wa tatu  Mkulima bora wa malisho na Mkulima bora wa zao la pamba.


Maonesho na sherehe za Wakulima kwa mwaka 2024 yamefanyika kwa kauli mbiu isemayo "Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo,

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.