• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

LISHE YATAKIWA KUWA AGENDA YA KUDUMU

Posted on: May 2nd, 2023



Watendaji wa Kata wametakiwa kuelimisha Wananchi kuhusu  Lishe bora kwa watoto na kuhakikisha siku ya lishe ya Kijiji inafanyika kila baada ya miezi mitatu.


Haya yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija wakati wa kikao cha tathimini ya lishe kilichofayika Leo Mei 2,2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba.


Mkuu wa Wilaya amesisitiza kuwa Watendaji wa Kata ni wakurugenzi katika maeneo yao ya kazi hivyo wanatakiwa kusimamia shughuli zote ikiwa ni pamoja na kuifanya agenda ya lishe kuwa agenda ya kudumu katika mikutano yao


" nendeni mkawaelekeze wananchi juu ya umuhimu wa Lishe Kwa kuhakikisha mnaadhimisha siku ya lishe ya Kijiji kila baada ya miezi mitatu tunasiitiza kuwa tunataka tuwe na watu wenye uwezo wa kufikiri na huo uwezo hauwezi kupatikana kama watoto hawapati lishe bora" Ludigija


Mkuu wa Wilaya ameitumia nafasi hiyo kuwataka Watendaji kusimamia kwa weledi utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao ya kazi pia amewataka kusimamia fedha ya Serikali kwa umakini na kuwataka wawaelekeze wataalamu walio katika Kata zao kutumia fedha za miradi kwa malengo yaliyokusudiwa


" jiepusheni na vishawishi vinavyoweza kukusababisha utumie fedha ya Serikali  kwa matumizi yako binafsi, epukeni vitu vinavyodhaririaha utu wenu" amesema Ludigija


Nao Watendaji  wameahidi kwenda kufanyia kazi maelekezo waliyopewa ikiwa ni pamoja na kusimamia siku ya lishe ya Kijiji Ili kuboresha lishe za watoto.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 26, 2023
  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU 2022/23

    May 19, 2023
  • MKUU WA WILAYA YA MBOZI MHE. ESTER MAHAWE AKIAMBATANA NA KAMATI YA FEDHA WAMEFANYA ZIARA WILAYANI KWIMBA

    May 16, 2023
  • DC LUDIGIJA AZINDUA ZAHANATI YA NYAMATALA NA KUFUNGUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA ISUNGA

    May 08, 2023
  • DC LUDIGIJA AZINDUA ZAHANATI YA NYAMATALA NA KUFUNGUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA ISUNGA

    May 08, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.