• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MAADHIMISHO YA ELIMU YA WATU WAZIMA

Posted on: October 16th, 2020

Serikali kupitia mpango wake wa elimu bure imekuwa ikifanya juhudi kubwa za kuwasaidia watu wazima ambao hawakupata nafasi ya kupata Elimu kwa utaratibu uliowekwa wanapata Elimu hasa kusoma ,kuhesabu na kuaandika kupitia mpango huu wa Elimu ya watu wazima.

Elimu hii ya watu wazima imeonekana kuwasaidia watu wengi kujua kusoma na kuandika haya yamedhihirika katika maadhimisho ya Elimu ya watu wazima ambayo kwa Mkoa wa Mwanza yamefanyika Wilayani Kwimba tarehe 16/10/2020.

Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe. Juma Sweda(wakatikati) akimpongeza Mwalimu aliyeendaa darasa linaloongea katika Shule ya Msingi Mwandu Kwimba.

Akiongea na wananchi waliohudhuria maadhimisho hayo Mgeni rasmi Mhe.Senyi Saimon Ngaga Mkuu wa Wilaya ya Kwimba  akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa  wa Mwanza amesema serikali inajitahidi kufuta ujinga kwa kuhakikisha hata ambao hawakupelekwa Shuleni kusoma wajifunze (KKK) yaani kusoma kuandika na kuhesabu,pia amesema serikali imeanzisha vyuo vingi nchini yaani FDC,VETA na Mpango wa kujiendeleza kwa masomo ya Sekondari QT ili watu wazima wajiendeleze ametolea mfano wa chuo Cha maendeleo ya wananchi Malya kinatoa fani mbalimbali ikiwemo ufundi wa magali,umeme,fundi bomba, ushonaji na fani nyingine nyingi vyote hivyo nikuwasaidia watu wazima kujiendeleza.



Katika maadhimisho hayo yaliyohudhuliwa na wataalamu wa Elimu kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Mwanza walipata nafasi ya kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kwimba kuona madarasa yanayoongea na vikundi vya mkeja, baadhi ya vikundi wameishukuru Serikali kwa kuanzisha utaratibu huo wa kuwafundiksha kusoma na kuandika kwani wanafurahia mafanikio hayo maana waliweza kusoma risala zao kuonyesha wazi kuwa wameshajua kusoma na kuandika.

Watu wazima wakisoma risala yao kuonyesha wazi kuwa wamenufaika na Mpango wa KKK (kusoma kuandika na kuhesabu)



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.